Tushare game za android

Tushare game za android

Haha hilo game linataka utulivu wa hali ya juu... Huwa nacheza need for Speed huku nakula lunch lakini QuizUp natulia tulii.... Halafu napenda... U can challenge ur friend au unaweza cheza na mtu yeyote in da world mwenye hiyo game.. Then mnaweza mkawa mna chat huku mnacheza na kushare knowledge.... Mkuu nakupm
Mkuu tukutane QuizUp, same handle!
 
Game hizi hapa
modern combat 4
modern combat 5 ila uwe na data kwa hii 5
Call of duty modern war fare
Mission imposible
Gta 4
Gta china town
Fifa 15
Hitman blood and money etc
Note:Game zote hzo cm yako inatakiwa RAM iwe kuanzia 1Gb na memory iwe na uwezo wa kuanzia Gb 10.
Ku download uwe na mb za kutosha cause game moja ina ukubwa wa Gb 1 na kuendelea
 
HD ANDROID GAMES
-eisenhorn:xenos
-afterpulse
-jade empire
-assasins creed identity
-mobile combat
-batman:the dark knight rises
-call of last agent
-mafia 3
-cover fire
-god fire:rise of promethius
-wild blood
-asphalt 8 air born
-gangstar vegas
-the elder scrolls:legends
-unearthed:trail of ibn battuta
-secret agent maria
-Injustice:gods among us
-mortal kombat x
-pes 2017
-fifa 2016
-tai chi panda
-stormborne:infinity arena
-trigger fist
-legends
-survival island:the forest 3d
-gta series
.sun andreas
.vice city
.liberty city
.gta 3
.gta 5
-the amaizing spider man 2
-gods of rome
-wwe legends
-six guns
-brothers: a tale of two sons
-slender man hide and seek
-resident evil 5
-bio harzad
-gangstar:rio city of saints
-9mm
-shadow gun
-ultimate spiderman 1,2
-deus ex:the fall
-dead triger
-bully anivesary

KAMA UNAJUA YOU HAVE A POWERFULLY ANDROID DEVICE KAZI KWAKO downloadia hapa (playmob.org)
 
HD ANDROID GAMES
-eisenhorn:xenos
-afterpulse
-jade empire
-assasins creed identity
-mobile combat
-batman:the dark knight rises
-call of last agent
-mafia 3
-cover fire
-god fire:rise of promethius
-wild blood
-asphalt 8 air born
-gangstar vegas
-the elder scrolls:legends
-unearthed:trail of ibn battuta
-secret agent maria
-Injustice:gods among us
-mortal kombat x
-pes 2017
-fifa 2016
-tai chi panda
-stormborne:infinity arena
-trigger fist
-legends
-survival island:the forest 3d
-gta series
.sun andreas
.vice city
.liberty city
.gta 3
.gta 5
-the amaizing spider man 2
-gods of rome
-wwe legends
-six guns
-brothers: a tale of two sons
-slender man hide and seek
-resident evil 5
-bio harzad
-gangstar:rio city of saints
-9mm
-shadow gun
-ultimate spiderman 1,2
-deus ex:the fall
-dead triger
-bully anivesary

KAMA UNAJUA YOU HAVE A POWERFULLY ANDROID DEVICE KAZI KWAKO downloadia hapa (playmob.org)
duh aiseh mkuu zote hizo unazo kwenye device yako
 
Habari wakuu
Naomba msaada wa kujuzwa game nzuri(hasa za kivita na kispy) kwenye simu ambazo zinaonesha full body ya mtu unaemutumia kwenye game na siyo bunduki tu.
Kwa sasa nacheza Front line Commando 2 na Modern Combat 5
 
Habari wakuu
Naomba msaada wa kujuzwa game nzuri(hasa za kivita na kispy) kwenye simu) ambazo zinaonesha full body ya mtu unaemutumia kwenye game na siyo bunduki tu.
Kwa sasa nacheza Front line Commando 2
Unatumia simu gn kwa sasa na ram yke plz
 
mi nachezaga la snake tuu tena nikama test kujicheki kama vitu vimesha kaaa kichwani au bado nikisha tikisa bapa
 
Back
Top Bottom