Mwenzenu samahani hainishindi sijui mmeumbwaje!napenda sana amani hata km mtu kanikwaza kwanza ujinga hafi mtu!Mimi mpk mtoto namuomba msamaha!ili nipate amani ya moyo bora niumie Mimi sometimes naona bora mambo yaishe tu life liendelee
For sure, ila kama kweli unamaanisha haihitaji nguvu nyingi."body expression yako ionyeshe au kumaanisha kile unachokitamka" hapa ndio penye mtihani kwa wengi,ila hata kiroho unakuwa umeachia mzigo kwenye moyo wako,wa uliemchukiza na kufungua msamaha wako kwa Mungu ...
Ukiona mwanaume anakosea kwa mke wake ujue ana elements za kike
Naomba msamahaVipi mkuu wewe msamaha unaomba au bora wakuue tu 😅
Basi.ndo atataka akuzungusheee akuumize weeeee hahahahah.Kuna watu wengine ukimwomba samahani unampa Kichwa anazidisha pozi.
Absolutely!Ni neno dogo sana ila lina matokeo makubwa sana baina ya mtu na mtu
Kingsmann
Sent using Jamii Forums mobile app
😅😅 daaah mkuu we ni kiboko!Basi.ndo atataka akuzungusheee akuumize weeeee hahahahah.
Mimi nilivo mgumu kuomba msamaha, mpaka naomba maana yake niumia sanaa, alafu unifanyie makusudi.
Hahahaha napotea, utabaki unajiuliza mbona siku hizi kawa kimya .
Huwa sipendi kuruhusu mtu kuniumiza kwa gharama zangu mwenyewe.
Sijua kwa nini wanakuwa hivi yaani?Hapa nakazia zaidi yaani mtu kosa lake lakini atakavyoligeuza atakavyolizungusha ili mradi tu asiseme samahani, tena bora hata aseme hiyo basi nisamehe utasikia tu basi yaishe [emoji23][emoji23]
Sijua kwa nini wanakuwa hivi yaani?
Ila na sisi mioyo yetu ilivyo na huruma unapokea tu hivyo hivyo kisha maisha mengine yanaendelea.