Tusemezane: Umuhimu wa kuomba msamaha

Tusemezane: Umuhimu wa kuomba msamaha

Lol.Usimkosee makusudi mdada wawatu jamani!!
Sometimes uanaume ni kukaza kibabe bana mwanaume kuomba omba msamaha nao umama!
Sometimes lakini

Cc Smart911
Ndio hadi awe calm huyo mwanamke. Mie ni lastborne child so napenda ile warm treatment. Kwa mtu abusive nakuwa very defensive halafu hatakaa ainjoy uhusiano na mimi.
 
Ukiona mwanaume hajishushi au haoni makosa yake na umuhimu wa kusema samahani jua alikuwa abused katika utoto wake ama na mwanamke ambaye alikuwa nae previously.

Binafsi mwanamke nitakae date nae next time ataniona mkatili sana ila sio nature yangu. Its just that i've been through a shitty relationship ikanishape kuwa so defensive.

Itanichukua muda ila nitarudi kuwa sawa, ikiwa atakuwa calm and with an understanding nature. Wanaume huwa tunakuwa defensive kwa sababu ya kukwepa dharau na kauli za kuudhi toka kwenu.

Mfano kuna mwanamke unaweza mwambia jambo very straight akakuelewa on the spot. Ila kuna ambaye ukiwa straight nae atatafuta means ya kukufanya uonekane stupid tu kwa action flani uliofanya. Yani lazma atafute namna ya kujikweza tu ili uonekane umefanya kitu cha kijinga. Hawa ndio huwa tunawakandamiziaga chini the moment amefungua tu mdomo.

Mfano halisi:
Mko na saving ya million 10. Kutokana na mambo ya Corona mambo yalisimama kwa muda mme kapumzishwa kazi. Amechukua ile sehemu ya saving kukava ma gap ya emergencies. The day mke anaona hela imepungua unamwambua mambo yalikuwa tight ilinibidi nichukue hela kidogo kuendesha maisha na unaona hali ilivyo hatukuwa na jinsi. Mwanamke understanding atapiga kimya maana ni hela imetumika kuendesha maisha na ku resolve mambo ya kimaisha. Ila kuna ambaye zitaanza kelele hapo utafikiri ungemwambia hamna hela ya kununulia chakula angekubali kulala njaa! Unadeal vipi na mwanamke wa aina hii, the moment anaanza kufungua mdomo tu unampandishia mpaka akae kimya!
mahondaw

nimekuelewa vizuri sana
 
Hii tabia baina ya wapenzi hujenga chuki ya kisasi na kupunguza upendo katika rate ya ajabu.

Huwez kuniumiza kihisia and then ukaona you are damn okay to just bounce with it. Atleast act responsibly, nisamehe mpenzi wangu tena fanya kama unanibembeleza ntakuachia so free moyoni mwangu.
You damn right chief👊
 
kweli eti
mfano mi nilikuaga na mtu yaani akikosea ukimwambia anatafuta sababu najikuta kosa limekua langu naomba msamaha, nikikosea mimi ntambembeleza weee, ye akikosea haombi msamaha, hajui umekasirika wala nini hata iyo basi nisamehe hasemi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😅Kuna watu nature yao tu ni wataalamu wa kukugeuzia kesi mpaka uonekane wewe ndio mtuhumiwa 😅
 
Inapobidi ombeni msamaha. .ila isiwe too much kwa mwanaume haipendezi! Kwa mwanaume kaubabe fulani hivi mi naona it's nature . Mnakosea n kuomba msamaha kisiasa sio kwa neno Samahani eti !


Cc Smart911
Hii ndio nimejua leo, kwamba baadhi yenu mnapenda "kaubabe ubabe" 😤
 
Back
Top Bottom