Tusemezane: Umuhimu wa kuomba msamaha

Tusemezane: Umuhimu wa kuomba msamaha

I don’t think so! Asilimia kubwa sisi wanawake ni wepesi sana wa kujishusha. Wanaume hata mkoseje mnakomaa tu mpaka sisi wenyewe tunawasamehe bila nyie kuomba msamaha!sometimes Mnatuonea sana

Cc Smart911

Cc Smart911

Yeah, inaweza kuwa sawa unachokisema lakini ni ngumu kuconclude hivyo 😅
 
Vp na ule msamaha wa kilio una sound?especially kwa mtu na mpenzie

Yeah, ukiweza lia galagala kabisa 😅, kama yule wa "hamida", asipo kuelewa hapo basi tena.
 
Hah
Haha!nkafikir nlikosea kulia kwa bby wangu
😃😃 lakini pia raha ya msamaha umpate mtu muelewa utakaemuomba msamaha akakuelewa, naona baadhi yao wanatake advantage ya kuombwa msamaha.
 
Hapa nakazia zaidi yaani mtu kosa lake lakini atakavyoligeuza atakavyolizungusha ili mradi tu asiseme samahani, tena bora hata aseme hiyo basi nisamehe utasikia tu basi yaishe [emoji23][emoji23]
Hamna mtu anayenikera kama anaeasema "basi samahani" au "basi yaishe" inaonesha jinsi gani ambavyo hataki kuwajibika juu ya makwazo yake wa dhati ya moyo ila anafanya kuku please tu.

Anajiona yuko right, ni kama yule ChokoMauki alivyojifanya eti watu wamemuelewa tofauti. Baadala ya kuomba radhi anajaribu kuzungusha maneno asionekane juha wakati kashapuyanga.
 
Hii tabia baina ya wapenzi hujenga chuki ya kisasi na kupunguza upendo katika rate ya ajabu.

Huwez kuniumiza kihisia and then ukaona you are damn okay to just bounce with it. Atleast act responsibly, nisamehe mpenzi wangu tena fanya kama unanibembeleza ntakuachia so free moyoni mwangu.

Utukutu tu na ujeuri sa ingine makusudi[emoji23][emoji23]
 
Hamna mtu anayenikera kama anaeasema "basi samahani" au "basi yaishe" inaonesha jinsi gani ambavyo hataki kuwajibika juu ya makwazo yake wa dhati ya moyo ila anafanya kuku please tu.

Anajiona yuko right, ni kama yule ChokoMauki alivyojifanya eti watu wamemuelewa tofauti. Baadala ya kuomba radhi anajaribu kuzungusha maneno asionekane juha wakati kashapuyanga.

yeah mi naonaga anae sema basi yaishe ni kama unampigia makelele sasa hataki kuendelea kuhasikia ayo makelele ndo anakwambia basi yaishe [emoji23][emoji23][emoji23]
mi ukinambia ndo kwanza naanza upya yaani
 
I don’t think so! Asilimia kubwa sisi wanawake ni wepesi sana wa kujishusha. Wanaume hata mkoseje mnakomaa tu mpaka sisi wenyewe tunawasamehe bila nyie kuomba msamaha!sometimes Mnatuonea sana

Cc Smart911

Cc Smart911
Ukiona mwanaume hajishushi au haoni makosa yake na umuhimu wa kusema samahani jua alikuwa abused katika utoto wake ama na mwanamke ambaye alikuwa nae previously.

Binafsi mwanamke nitakae date nae next time ataniona mkatili sana ila sio nature yangu. Its just that i've been through a shitty relationship ikanishape kuwa so defensive.

Itanichukua muda ila nitarudi kuwa sawa, ikiwa atakuwa calm and with an understanding nature. Wanaume huwa tunakuwa defensive kwa sababu ya kukwepa dharau na kauli za kuudhi toka kwenu.

Mfano kuna mwanamke unaweza mwambia jambo very straight akakuelewa on the spot. Ila kuna ambaye ukiwa straight nae atatafuta means ya kukufanya uonekane stupid tu kwa action flani uliofanya. Yani lazma atafute namna ya kujikweza tu ili uonekane umefanya kitu cha kijinga. Hawa ndio huwa tunawakandamiziaga chini the moment amefungua tu mdomo.

Mfano halisi:
Mko na saving ya million 10. Kutokana na mambo ya Corona mambo yalisimama kwa muda mme kapumzishwa kazi. Amechukua ile sehemu ya saving kukava ma gap ya emergencies. The day mke anaona hela imepungua unamwambua mambo yalikuwa tight ilinibidi nichukue hela kidogo kuendesha maisha na unaona hali ilivyo hatukuwa na jinsi. Mwanamke understanding atapiga kimya maana ni hela imetumika kuendesha maisha na ku resolve mambo ya kimaisha. Ila kuna ambaye zitaanza kelele hapo utafikiri ungemwambia hamna hela ya kununulia chakula angekubali kulala njaa! Unadeal vipi na mwanamke wa aina hii, the moment anaanza kufungua mdomo tu unampandishia mpaka akae kimya!
mahondaw
 
Hii tabia baina ya wapenzi hujenga chuki ya kisasi na kupunguza upendo katika rate ya ajabu.

Huwez kuniumiza kihisia and then ukaona you are damn okay to just bounce with it. Atleast act responsibly, nisamehe mpenzi wangu tena fanya kama unanibembeleza ntakuachia so free moyoni mwangu.

kweli eti
mfano mi nilikuaga na mtu yaani akikosea ukimwambia anatafuta sababu najikuta kosa limekua langu naomba msamaha, nikikosea mimi ntambembeleza weee, ye akikosea haombi msamaha, hajui umekasirika wala nini hata iyo basi nisamehe hasemi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilimwambia demu nisamehe, alinitukana wee mwanaume fala Sana unaniomba msamaha kwani Mimi Mama yako? Ungekuwa Kaka yangu ningekuzabua mabao. Unamuombaje mwanamke samahani?

Nikawa mdogo Kama punje ya chumvi ya mezani
Uyo ana tatizo la kimalezi amekulia kwenye familia ambayo mama alikuwa mjeuri anampanda mwanaume kichwani.
 
Lol.
Ukiona mwanaume hajishushi au haoni makosa yake na umuhimu wa kusema samahani jua alikuwa abused katika utoto wake ama na mwanamke ambaye alikuwa nae previously.

Binafsi mwanamke nitakae date nae next time ataniona mkatili sana ila sio nature yangu. Its just that i've been through a shitty relationship ikanishape kuwa so defensive.
Usimkosee makusudi mdada wawatu jamani!!
Sometimes uanaume ni kukaza kibabe bana mwanaume kuomba omba msamaha nao umama!
Sometimes lakini

Cc Smart911
 
Nafikiri kwa wanaume wanaoshindwa kuomba msamaha wako na dhana kwamba wakiomba msamaha maybe wataonekana mabwege, wananyenyekea sana au wadhaifu pia wapo waliolelewa wakiaminishwa kwamba mwanaume hakosei hivyo hawezi kuomba msamaha
Sahihi kabisa ila mimi ata mwanangu nikimkosea na muomba msamaha tena kwa kumwambia"Naomba unisamehe mwanangu"
 
Back
Top Bottom