Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,941
- 31,907
Inaonekana huu ugonjwa wa kushindwa kuomba radhi ni mkubwa zaidi ya tunavyoufikiria, shida ni nini hasa, kuogopa kuonekana inferior, au nini zaidi??
Nafikiri kwa wanaume wanaoshindwa kuomba msamaha wako na dhana kwamba wakiomba msamaha maybe wataonekana mabwege, wananyenyekea sana au wadhaifu pia wapo waliolelewa wakiaminishwa kwamba mwanaume hakosei hivyo hawezi kuomba msamaha