Ila nahisi wewe ni wale wasukuma wa baridi wale, wa mwanamalunde wewe... Sio kwa maandishi hayaEwaaaahh, wewe wakushushe nyegezi utajiongeza mwenyewe kuelekea mwadui kama utatembea au utatumiwa fisi na bibi yako muhimu urudi kwenu..!! 😹😹
Bonga na bibi basi atume fisi upige bolt..!! 😹Ila nahisi wewe ni wale wasukuma wa baridi wale, wa mwanamalunde wewe... Sio kwa maandishi haya
Kwisha habari yako, kumbe wewe msukuma tena wa ndani ndani ghete? 😂Bonga na bibi basi atume fisi upige bolt..!! 😹
Bwashee akisha lewa hua anawaona Mo Dewji na Bakhresa bado wanajitafuta,Anajichanganya sana huyu jamaa sijui anafeli wapi halafu Wanywaji mbona wapo kibao humu na hawana wenge ?
Aisee Hakika mbege za mama shirima sio za mchezo mchezoBwashee akisha lewa hua anawaona Mo Dewji na Bakhresa bado wanajitafuta,
Na yeye ndio Boss wa town
Dar imekuaje unguja?We mwenyewe wakuja bwashee, Dar ni yetu sie
Daslamu jiji letu na nikiwakilishi cha taifa , ila kuna nyumbu zipo dar hazina kazi yoyote ila zipo tu,🤔.
Hizi nyumbu ndizo zinatuchafulia jiji la Dar , hata kimataifa tuna kosa namba za maana 🤔
Yaani yenyewe yapo yapo tu na kijijini hayataki kurudi kisa yanaongea kingereza cha the na this🤔 gadeimm.
Yawezekana hata hiyo alcohol hatumii ila kaamua kujifanya ni pampula 24/7. Jamaa yetu anayumba sana nowadays. Hata kama yupo nyuma ya keyboardBwashee akisha lewa hua anawaona Mo Dewji na Bakhresa bado wanajitafuta,
Na yeye ndio Boss wa town