Tusake pesa

Bwashee siamini kama mtu anaweza tafuta pesa na hanywi pombeπŸ˜‡

Bro amini kwamba. Wako wanaorudishia mwili shukran kwa Mafame.
Wanapenda chini balaa.

Bia hawatumii kabisa. Ila Idadi ya Vifuniko vya asali wanavyofungua ni sawa tu na sisi tunavyofungua vya bia. 😊😊😊
 
Leo nimelewa nampigia b mkubwa kilevi levi , anacheka cheka tu , nakunipa maneno ya baraka za kutosha .

Hakuna mwanamke atakupa attention bila pesa wewe kijana mpumbavu πŸ˜…πŸ˜…
Ila niongeze maneno kidogo "saka pesa kwa njia yoyote ile" namaanisha hata za ulimwengu wa roho.
Pakikucha uanze kuomba mods msamahaπŸ˜‚πŸ™Œ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…