Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,514
- 42,651
Kila jina huwa na maana yake.... taasisi, wakala, idara..mamlaka n.k huitwa hivyo kulingana na wigo wa majukumu, maamuzi na utendaji.Ili waiendeshe limaslahi yao.
Kila jina huwa na maana yake.... taasisi, wakala, idara..mamlaka n.k huitwa hivyo kulingana na wigo wa majukumu, maamuzi na utendaji.Ili waiendeshe limaslahi yao.
Sasa watu hawana mamlaka ya kukamata... kazi yao kubwa ni kukusanya taarifa ...kuzichambua kuchuja kisha kuzipeleka kwa wafanya maamuzi ambao ni akina Jenister na maboss wao...
Wameiweka TU Kama idara Kwa kufuata mabadiliko ya sera,lakini lile dubwana siyo idara bana
Nafikiri moja ya reforms za kupigania ni hii, very important one!Sasa watu hawana mamlaka ya kukamata... kazi yao kubwa ni kukusanya taarifa ...kuzichambua kuchuja kisha kuzipeleka kwa wafanya maamuzi ambao ni akina Jenister na maboss wao...
Kwa nature ya kazi yao kwa sasa ni sawa kabisa kuitwa idara unless wapewe meno zaidi.
Waandishi wanasema " Rais ameteua Mkurugenzi wa idara ya Usalama wa Taifa" badala " Rais ameteua Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa" neno idara lina walakini.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kabisa mkuu, Immigration baada ya marekebisho ya sheria sio idara tena ni Jeshi! Zimamoto ilikuwa idara baada ya marekebisho ni Jeshi. TISS pamoja na marekebisho bado kwa Kiswahili tunaita ni idara! Nafikiri kuna lugha sahihi inapaswa kuwa mbadala wa idara! Idara ndani yake iwe na idara ni idara hiyo kweli?
Bakita watusaidie ...
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kisheria ni majeshi kaka, Immigration nao wamekuwa jeshi sio idara tena. Ndio maana imenipa shida dubwasha kubwa kama TISS kuendelea kuitwa idara hadi niliposoma sheria na kuona hata hayo marekebisho niliyosikia aliyofanya Rais Mkapa ilibakia kuwa idara!Hakuna jeshi la Immigration, hata polisi na magereza wanaitwa majeshi kimakosa.
Kisheria ni majeshi kaka, Immigration nao wamekuwa jeshi sio idara tena. Ndio maana imenipa shida dubwasha kubwa kama TISS kuendelea kuitwa idara hadi niliposoma sheria na kuona hata hayo marekebisho niliyosikia aliyofanya Rais Mkapa ilibakia kuwa idara!
Lakini wadau hapa wameongeza kuwa kazi yao ni kukusanya data na kuzichambua kazi inaishia hapo! Imagine baada ya kazi kubwa kama hiyo then utekelezaji uachie wengine!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Immigration kwa utaratibu mpya ni Jeshi, zamani ndo walikuwa wanaitwa IdaraHakuna jeshi la Immigration, hata polisi na magereza wanaitwa majeshi kimakosa.
CIA ni Agency sio department kaka. Agency inakuwa na mamlaka kamili.TISS hata haifiki robo ya Central Intelligence Agency(CIA) ambayo inafanya operations dunia nzima na bado ni idara.
Ni idara iliyo chini ya taasisi ya CCM,kupokea maelekezo jinsi ya kutawala mileleWakuu,
Kuna jambo nahisi hata wahiriri wetu na viongozi wa umma wameshindwa kurekebisha sababu ya mazoea au hapa tuambiane kama ni kiswahili sahihi.
Hivi ni sahihi kuita TISS kama Idara? Zamani najua taasisi nyingi za umma zilijulikana kama idara sababu hazikuwa zinajitegemea ila baada ya marekebisho makubwa na kuundiwa sheria zake zipo idara sio idara tena ikiwemo TISS. Kwanini imekuwa kawaida taasisi ya usalama wa taifa kuitwa Idara?
Inawezekana sifahamu ila naomba wajuvi watusaidie, tunapaswa kuita Taasisi ya Usalama wa Taifa au Idara ya Usalama wa Taifa?
Tuache wajuvi watujuze!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Tiss haipo chini ya ofisi ya Raisi, isipokua kuna kikundi kidogo ndani ya tiss ndio kipo chini ya raisHiyo ni idara inayojitegemea iliyopo chini ya Ofisi ya Rais Ikulu
Wewe ulitaka wakishakusanya data na kuzichambia wakakamate watu kama polisi, au wakashinde mipakani na wanajeshi kuzuia hizo hatari au wawe ni mawaziri wa uchumi/mambo ya nje kufanya utekelezaji?Kisheria ni majeshi kaka, Immigration nao wamekuwa jeshi sio idara tena. Ndio maana imenipa shida dubwasha kubwa kama TISS kuendelea kuitwa idara hadi niliposoma sheria na kuona hata hayo marekebisho niliyosikia aliyofanya Rais Mkapa ilibakia kuwa idara!
Lakini wadau hapa wameongeza kuwa kazi yao ni kukusanya data na kuzichambua kazi inaishia hapo! Imagine baada ya kazi kubwa kama hiyo then utekelezaji uachie wengine!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kibongo bongo TISS ni Idara, ni Kama ilivyo Uhamiaji.
Hakuna taasisi yoyote inayokuwa na mamlaka kamili kwenye nchi ya kidemokrasia. Ni katika nchi za kidikteta tu ndio ofisi ya Rais hujiweka kama ina mamlaka kamili yasiyodhibitiwa au kuwa checked.CIA ni Agency sio department kaka. Agency inakuwa na mamlaka kamili.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
CIA ni Agency sio department kaka. Agency inakuwa na mamlaka kamili.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Tiss ipo chin ya mambo ya ndaniNingependa kufahamu kma ipo chini ya wizara ya Mambo ya ndani au laa??
CIA ni Agency sio department kaka. Agency inakuwa na mamlaka kamili.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Agency sio idara mkuu.TISS hata haifiki robo ya Central Intelligence Agency(CIA) ambayo inafanya operations dunia nzima na bado ni idara.
Justice department ni idara chini ya mwanasheria mkuu ambae ni independent organ kule marekani....Justice Department ni chombo huru sana na chenye mamlaka yake ya ndani makubwa kuliko CIA. Rais wa Marekani anaingilia zaidi na kuelekeza utendaji wa CIA ila hawezi kuingilia wala kuelekeza utendaji wa Justice Department chini ya mwanasheria mkuu.