MTAZAMO
Platinum Member
- Feb 8, 2011
- 20,169
- 35,739
- Thread starter
- #101
Upo sahihi. AsanteUpeo wako tu unazungumzuka yote. Do I need more?
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Upo sahihi. AsanteUpeo wako tu unazungumzuka yote. Do I need more?
[emoji1]Sio jf pekee hata kitaa hasa bar watu wakianza hizi mada kila mtu anakua mjuaji na itachukua masaa matatu kujadili
Sheria yao inasema ni idara.Hiyo ni idara ndani ya taasisi ya ulinzi na usalama wa taifa
Ni idara kwakuwa wafanyakazi na watendaji wake hutolewa ama kupelekwa kwenye taasisi nyingine kufanya kazi
Kepteni Mstaafu George Mkuchika,Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Kazi Maalum.Kina Waziri anawajibika ambae ni waziri wa ofisi ya Rais, utumishi na Utawala Bora, kwenye channel wako na multiple, direct na through
Kiswahili cha intelligence ni ujasusi.Kiingereza: Tanzania Intelligence and Security Services
Kiswahili : Huduma za Upelelezi na Usalama Tanzania
Conclusion:
Tatizo ni Lugha yenu ya Kiswahili
Ila magari ya TISS yamesajiliwa kama Ofisi ya Rais IkuluUtumishi na utawala Bora, zamani kulikuwa na wizara ya utawala Bora pia.
Hii wizara inasimamia
Tiss.
Sekretarieti ya maadili ya viongozi.
Tume ya haki za binadamu
Takukuru,
Sekretarieti ya ajira.
Chuo cha utumishi wa umma
TISS imetungiwa sheria 1996/97 haijafanyiwa mabadiliko yoyoteKabisa mkuu, Immigration baada ya marekebisho ya sheria sio idara tena ni Jeshi! Zimamoto ilikuwa idara baada ya marekebisho ni Jeshi. TISS pamoja na marekebisho bado kwa Kiswahili tunaita ni idara! Nafikiri kuna lugha sahihi inapaswa kuwa mbadala wa idara! Idara ndani yake iwe na idara ni idara hiyo kweli?
Bakita watusaidie ...
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Robo umefika mbali sana hata 5% ya resources na reach ya CIA haijafikia na haitafikia kama wataendelea kuwa wasiriTISS hata haifiki robo ya Central Intelligence Agency(CIA) ambayo inafanya operations dunia nzima na bado ni idara.
Mali zote za TISS kuanzia ardhi zina umiliki wa Ofisi ya RaisTiss haipo chini ya ofisi ya Raisi, isipokua kuna kikundi kidogo ndani ya tiss ndio kipo chini ya rais
Akili ndogo kabisa..wewe ndo unamua Kama hayo sio majeshi ,.Immigration nao ni Jeshi !!??
Jeshi Nchi hii ni Moja tu Jeshi la Wanachi.
Hizo sijui Police, Sijui Tiss ni Idara zinazolisaidia Jeshi la Wanachi kazi. ( Wazee wa kazi kazini).
Eti Jeshi la Uhamiaji sio kweli!!
#18Mimi nataka nijue kirefu cha TISS
Jibu hilo hapo juu pigia mstaritaasisi ya ulinzi na usalama wa taifa
Ila CIA inafanya kazi chini ya DNIJustice Department ni chombo huru sana na chenye mamlaka yake ya ndani makubwa kuliko CIA. Rais wa Marekani anaingilia zaidi na kuelekeza utendaji wa CIA ila hawezi kuingilia wala kuelekeza utendaji wa Justice Department chini ya mwanasheria mkuu.
Tanzania twatumia British English, ndo maana tuna Ministry of....Tatizo mna elimu za kuunga unga mnatafsri vitu direct.
Mfano Marekani, Wizara ya Mambo Ya Ndani inaitwa Department of Homeland Security, Nje wanaiita Department of State.
Hapo vipi? Okay, wewe elimu yako ngumbaro, sawa ila fanya uwezavyo watoto wako wapate elimu bora