Idara hutegemea serikali kuu kujiendesha na haitoi gawawo kwa serikali. Ingawa ina njia za kukusanya mapato. Idara huenda had I kila wilaya.
Kwa ujumla mgawanyo wake ttz unachanganya sana.
Taasisi hujitegenea kujiendesha na haitoi gawiwo. Taasisi huwa in lazima ienee kila wilaya.
Kuna bodi ambazo zinajiendesha sawa na taasisi.
Mamlaka kama yalivyo mashirika hujitegemea. Si lazima ienee kila kona ya tz. Mamlaka hujiendesha yenyewe kwa kukussnya mapato na kutoa gawiwo kwa serikali pale inapotimiza malengo ya ukusanyaji. Mashirika hupewa ruzuku kwa serilikali ili baadae iweze kujiendesha.
Ukishajua haya utaelewa kuwa TISS ni idara.
Ktk wizara ya elimu kuna vyote.
Taasisi ya elimu
Mamlaka ya elimu
Idara za elimu
Bodi ya elimu