MTAZAMO
Platinum Member
- Feb 8, 2011
- 20,161
- 35,719
- Thread starter
- #41
Kabisa ...Wameiweka TU Kama idara Kwa kufuata mabadiliko ya sera,lakini lile dubwana siyo idara bana
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kabisa ...Wameiweka TU Kama idara Kwa kufuata mabadiliko ya sera,lakini lile dubwana siyo idara bana
Jamani kabla hamjajichanganya someni sheria ya taasisi mtaelewa...
lkn ukisoma kwenye sheria iliyoanzisha hiyo taasis, inaitwa idara, fungu 4(i) ya sheria hiyo.
Sijaona version ya kiswahili ya sheria ya TISS... ila ndio hivyo, inaitwa IDARA twende humo humoIdara ya Zimamoto baada ya marekebisho iliitwa Jeshi la Zimamoto, why not TISS ibakie kuwa idara tangu enzi hizo ikiwa tawi maalum? Nafikiri kiswahili kinamapungufu!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Immigration Department
Kwa sababu ya ukoloni mwamboleo ndio maana unaona Kiswahili in dhaifu,Hata Mrusi ukimuuliza Leo atakuambia Kiingereza ni lugha dhaifu.Immigration Department
Idara ya Uhamiaji heheheh
Tanzania Prisons Services
Jeshi la Magereza
Kiswahili ni Lugha Dhaifu sana
Kabisa mkuu, Immigration baada ya marekebisho ya sheria sio idara tena ni Jeshi! Zimamoto ilikuwa idara baada ya marekebisho ni Jeshi. TISS pamoja na marekebisho bado kwa Kiswahili tunaita ni idara! Nafikiri kuna lugha sahihi inapaswa kuwa mbadala wa idara! Idara ndani yake iwe na idara ni idara hiyo kweli?Immigration Department
Idara ya Uhamiaji heheheh
Tanzania Prisons Services
Jeshi la Magereza
Kiswahili ni Lugha Dhaifu sana
Si kweli taasisi yenyewe ina ujini ujini acha iitwe iitwavyo.ni dubwana linalojilinda kama konokono.Idara ya Zimamoto baada ya marekebisho iliitwa Jeshi la Zimamoto, why not TISS ibakie kuwa idara tangu enzi hizo ikiwa tawi maalum? Nafikiri kiswahili kinamapungufu!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Ili waiendeshe limaslahi yao.Jamani kabla hamjajichanganya someni sheria ya taasisi mtaelewa...
Hata hiyo sheria iliyounda usalama wa taifa inatamka TISS kama directorate iliyo chini ya ofisi ya Rais utawala bora..
Unajua Jenister Mhagama ana mkono wa moja kwa moja katika usimamizi wa siku kwa siku wa idara hii kwa niaba ya rais?
Tofauti na wakala, mamlaka na taasisi ambazo waziri huwa na ngivu ya sera tuu sio maamuzi au utawala...
TISS kiutawala na kisera ipo chini ya waziri ndio maana inaitwa idara...
Watawala hawataki iwe taasisi kama wenzetu US na kwingineko.
Jamani kabla hamjajichanganya someni sheria ya taasisi mtaelewa...
Hata hiyo sheria iliyounda usalama wa taifa inatamka TISS kama directorate iliyo chini ya ofisi ya Rais utawala bora..
Unajua Jenister Mhagama ana mkono wa moja kwa moja katika usimamizi wa siku kwa siku wa idara hii kwa niaba ya rais?
Tofauti na wakala, mamlaka na taasisi ambazo waziri huwa na ngivu ya sera tuu sio maamuzi au utawala...
TISS kiutawala na kisera ipo chini ya waziri ndio maana inaitwa idara...
Watawala hawataki iwe taasisi kama wenzetu US na kwingineko.
Nimeipata sheria ngoja niperuzi.Jamani kabla hamjajichanganya someni sheria ya taasisi mtaelewa...
Hata hiyo sheria iliyounda usalama wa taifa inatamka TISS kama directorate iliyo chini ya ofisi ya Rais utawala bora..
Unajua Jenister Mhagama ana mkono wa moja kwa moja katika usimamizi wa siku kwa siku wa idara hii kwa niaba ya rais?
Tofauti na wakala, mamlaka na taasisi ambazo waziri huwa na ngivu ya sera tuu sio maamuzi au utawala...
TISS kiutawala na kisera ipo chini ya waziri ndio maana inaitwa idara...
Watawala hawataki iwe taasisi kama wenzetu US na kwingineko.
Ukisema inajitegemea halafu ipo ofisi ya rais, unamaanisha nini mkuu?Hiyo ni idara inayojitegemea iliyopo chini ya Ofisi ya Rais Ikulu
Asante sana, Sheria ipo direct kuwa ni idara au kwa kimombo department! Hili dubwasha kubakia "department" inabidi tufikirie implications zake kiutendaji. Otherwise nimeelewa.Siyo directorate, ni idara iliyo chini ya ofisi ya rais.
Kiswahili ni Lugha changa ndiyo unabisha nini?Kwa sababu ya ukoloni mwamboleo ndio maana unaona Kiswahili in dhaifu,Hata Mrusi ukimuuliza Leo atakuambia Kiingereza ni lugha dhaifu.
Penda cha kwako!
Wana maana yao... hiyo ndiyo CCM!Asante sana, Sheria ipo direct kuwa ni idara au kwa kimombo department! Hili dubwasha kubakia "department" inabidi tufikirie implications zake kiutendaji. Otherwise nimeelewa.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Sorry ni department.Siyo directorate, ni idara iliyo chini ya ofisi ya rais.