spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,494
- 22,685
Mimi nataka nijue kirefu cha TISS
Ipo chini ya waziri wa mambo ya ndani.Ningependa kufahamu kma ipo chini ya wizara ya Mambo ya ndani au laa??
Idara vs Taasisi vs Mamlaka vs Wakala, ...
TISS ipo chini ya ofisi ya Rais.... kiwizara ipo chini ya Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais Utawala Bora; Mratibu wa shughuli za TISS ni Katibu Mkuu Kiongozi.Ipo chini ya waziri wa mambo ya ndani.
Wewe ndio umekuja vizuri. Asante, ila hapo upelelezi weka Ujasusi.Kiingereza: Tanzania Intelligence and Security Services
Kiswahili : Huduma za Upelelezi na Usalama Tanzania
Conclusion:
Tatizo ni Lugha yenu ya Kiswahili
Department
Kwa mujibu wa sheria ya wakala, idara na taasisi za serikali, TISS ni idara tu ndani ya ofisi ya Rais utawala bora....Wakuu,
Kuna jambo nahisi hata wahiriri wetu na viongozi wa umma wameshindwa kurekebisha sababu ya mazoea au hapa tuambiane kama ni kiswahili sahihi.
Hivi ni sahihi kuita TISS kama Idara? Zamani najua taasisi nyingi za umma zilijulikana kama idara sababu hazikuwa zinajitegemea ila baada ya marekebisho makubwa na kuundiwa sheria zake zipo idara sio idara tena ikiwemo TISS. Kwanini imekuwa kawaida taasisi ya usalama wa taifa kuitwa Idara?
Inawezekana sifahamu ila naomba wajuvi watusaidie, tunapaswa kuita Taasisi ya Usalama wa Taifa au Idara ya Usalama wa Taifa?
Tuache wajuvi watujuze!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Tanzania intelligence and security services
EWURA ni mamlaka, kasome sheria mkuu.
Department kama sijakosea
Kwa kimombo
Wameiweka TU Kama idara Kwa kufuata mabadiliko ya sera,lakini lile dubwana siyo idara banaKwa mujibu wa sheria ya wakala, idara na taasisi za serikali, TISS ni idara tu ndani ya ofisi ya Rais utawala bora....
Haina hadhi ya taasisi.
Idara ya Zimamoto baada ya marekebisho iliitwa Jeshi la Zimamoto, why not TISS ibakie kuwa idara tangu enzi hizo ikiwa tawi maalum? Nafikiri kiswahili kinamapungufu!TISS ipo chini ya ofisi ya Rais.... kiwizara ipo chini ya Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais Utawala Bora; Mratibu wa shughuli za TISS ni Katibu Mkuu Kiongozi.
Wizara ya Mambo ya Ndani ni Polisi, Uhamiaji, Zimamoto!
Uko sahihi, zote zimeanzishwa kwa mujibu wa sera na sheria.Hakuna taasisi/idara ambayo imeanzshwa bila sheria taratibu sera nk...
TISS sio department hivyo kuita idara sio sawa!Department
Idara ni chombo kinachofanya mambo yake kwa kuongozwa na kuamriwa na hakina mamlaka kamili ya kujiendesha siku kwa siku... inakua na mkubwa wake ambae ndiye huwa top wa kufanya maamuzi ya siku kwa siku...Wameiweka TU Kama idara Kwa kufuata mabadiliko ya sera,lakini lile dubwana siyo idara bana
Hapa ndio napata shida cc LusungoChombo chochote kikianzishwa kwa sheria ya bunge, hakiitwi idara, bali inakuwa taasisi.
Kwa maelezo ya mleta uzi idara ni tegemezi haijitegemeiHiyo ni idara inayojitegemea iliyopo chini ya Ofisi ya Rais Ikulu