Tupunguze vitambi tuwaridhishe wapenzi wetu

Tupunguze vitambi tuwaridhishe wapenzi wetu

Msemo wa kimoja chalii huwa siuelewi. Kama unakamuliwa kimoja lisaa lizima kuna shida? Maana kuna watu ukituacha tutafute cha pili utakufa wewe. Wanaume tumeumbwa tofauti sana usikariri na kimoja chali. Kuna wa dk 10 10 anaenda hata mara tano, kuna kimoja ila utakimbia wewe maana hakitoki tu kirahisi rahisi.
 
Usithubutu kupaka mkongo, mpenzi wangu aliniacha miaka michache iliyopita.

Kwa kifupi tu, nilisikia habari za mkongo nikajaribu aisee nilijuta..
Performance ilinikera kwanza sikufurahia chochote na baby mwenyewe aliumia vibaya mno kwa sababu ya over friction..

Yule mwanamke aliniacha kwa sababu ile, hakujua kama nilipaka mkongo ila kuanzia pale aliingiwa hofu ya kukutana namimi faragha anajua ataumia tena.
Sasa yanini mkongo kama napata hasara.

Toto la kitanga popote ulipo nimekumiss mama naahidi sitakupakia mkongo nisemehe bure [emoji124][emoji124][emoji124]
Unatumia dawa ipi sasa ?
 
Unatumia dawa ipi sasa ?
Situmii dawa yoyote
Wala sina tatizo lolote kazi nafanya vizuri, kutumia mkongo siku ile ilikua kujaribu tu lakini nilichopata sitaki tena wala hakuna sababu maana sijafurahia chochote.
Miaka kadhaa imepita[emoji16][emoji16]
 
Kumbe ndo maana wananisaliti ka siku, sio kwa rushwa hii😋😋
😀😀😀🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🥂🥂🥂🍾🍾
 
Hawajawahi kuridhika hawa,ukiwa na kitambi shida,ukiwa fidodido shida,ukiwa na kibamia shida,ukiwa na mashine kubwa shida,kwa kifupi hela ndo kilakitu fullstop
 
Wenye vitambi na manyama uzembe mnaitwa huku, uwiiiiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom