Mazoezi muhimuIla kweli.
Tupe uhalisia mkuuRudi kahoji vizuri , research yako sio sahihi, unless ulipata majibu fake kutoka kwa mdada mmoja toka tandahimba
😅😅 enjoy ilimrad hakiwashi Wala hakiumiTusipangiane nini cha kufanya, sisi tuna enjoy na matumbo yetu
Mtu mwenye kitambo ni goli moja na robo, afu shukrani na matunzo lakini tatu+, ambao hawana vitambi hasa wasokuwa na hela goli 7.9/shukrani chips na soda,oh come on!!!!!Tupe uhalisia mkuu
Namshangaa mleta mada anataka kutupngia😡😅😅 enjoy ilimrad hakiwashi Wala hakiumi
😅😅msiogope na nyie mnayo nafasiNamshangaa mleta mada anataka kutupngia😡
We mama unatupenda wenye vitambi au parking za Bajaj (6 park)😅😅msiogope na nyie mnayo nafasi
Anataka ndo hivyo hataki ndo vile
😅😅😅nipo upande wenu mimiWe mama unatupenda wenye vitambi au parking za Bajaj (6 park)
Kho kho kho kho kho....Tusipangiane nini cha kufanya, sisi tuna enjoy na matumbo yetu
😎😎😎Kho kho kho kho kho....
Usithubutu kupaka mkongo, mpenzi wangu aliniacha miaka michache iliyopita.Haturuhusiwi kupaka mkongo ?
🍾🍷😅😅😅nipo upande wenu mimi
😊😊😚😚😚
AlaahUpunguze kitambi kwa sababu ya meanamke? Heri kama ungezungumzia afya yako. Usiwe mtumwa
🤔😊😊😚😚😚