Tupunguze Siri Wakuu

Umenena vyema
 
Nimegundua wanaume wengi ni wabahili.
Usiri ni njia tu ya kuhalalisha huo ubahili wenu
 
Siri Muhimu lakini lazima tujue jinsi ya kuweka sirini mambo mengine ni vyema kushirikishana na watu wako wa karibu tatizo uaminifu changamoto ndio inafanya wajuba WENGI KUKAZA sana na vitu vyao...Nimepita
 
Siri Muhimu lakini lazima tujue jinsi ya kuweka sirini mambo mengine ni vyema kushirikishana na watu wako wa karibu tatizo uaminifu changamoto ndio inafanya wajuba WENGI KUKAZA sana na vitu vyao...Nimepita
Hakika.
 
Mleta uzi kuna kitu hujakijua bado usipokuwa msiri kwenye mambo nyeti jua wazi kabisa kifo kiko mlangoni mwako.
Tena issue za hela zisikie tu kwa rafiki yako hivyohivyo ukimwambia mwanamke kisa tu ni mkeo na kakuzaliwa watoto saba ukajua hapa sasa mpaka kufa na kuzikana basi umekwisha.

Mwanamke hubadarika siku moja na kuchukua maamzi ya kukuondoa muda wowote ule.Ukibishana na hili nitakushangaa ..chukulia mwanamke anafanya starehe kwa kujua kabisa anaweza kupata mimba na anazijua siku zake hatimae kweli anapata mimba....ile mimba anaiacha hadi anajifungua kisha anaenda kuktupa mtoto mtaroni au chooni.

Ni mwanmke huyohuyo anaweza akahatarisha maisha yake kwa kutoa mimba kwa sababu ya starehe zake yeye mwenyewe.

Hivyo mimi ni heri nife na siri zangu kuliko pesa yangu mwenyewe iwe chanzo cha mauti yangu! Kama nina mtoto aliyejitambua huyo ndo nitamwambia ila nikiona bado ni kopo na mfuniko na sina wazazi heri wafaidike waliokuwa wanazitunza asee
 
Waiiii acha siri ituue..wake zetu wana siri pia na hawatupi nakala
 
Binafsi nimekuelewa Mzee wa kitengo. Ninyi ndiyo mnafanya taifa liyumbe au liwe imara.
 
Noma Sana Sir watu inatakiwa wajifunze hapa .
Acha kabisa, watu wanapoteza sana mali. Kuna kipindi pia nipo Mwanza maeneo ya Nyegez jamaa mmoja aliachiwa nyumba alinde. Sasa ukaja mchakato wa upimaji wa ardh ili watu wapate hati, ikawa jamaa kila akimpigia mwenye nyumba simu haipokelewi na mchakato unafikia mwishon. Basi mchizi akamua kuandika majina yake.
Baadae ile namba ya mwenye nyumba ikawa haipatikani kabisa. Mpaka natoka Mwanza ilipita kama miaka 2 mchizi yupo kweny ile nyumba na mmilik simu yake haipatikani.
Kitu ambacho jamaa alikuwa anakifanya ni kufungua baadhi ya vitu kama masinki anauza anapata hela ya bangi.
Yani ninachohisi mwenye nyumba alishatangulia mbele za haki na ile nyumba alijenga kwa Siri. Maana kipind chote Cha ujenzi alikuwa anakuja peke yake.
 
Kupanga nikuchagua so uko sahihi .
 
Aise noma Sana.
 
Tafuta wakili mzuri. Andika wasia utakaotaja watu unaotaka wanufaike na mali zako. Orodhesha mali zako.
Wasia ubaki kwa wakili na maagizo usomwe kwa wanufaika utakapofariki.
 
Tafuta wakili mzuri. Andika wasia utakaotaja watu unaotaka wanufaike na mali zako. Orodhesha mali zako.
Wasia ubaki kwa wakili na maagizo usomwe kwa wanufaika utakapofariki.
Sahihi lakini pamoja na uzuri wa wakili inatakiwa upime uaminifu wake because Kuna games nyingi za kisheria wanacheza siku hizi.
 
Yamkini angemuambia huyo Mke la da angekuwa alisha fariki miaka mingi kabla.yawezekana kitendo cha kumficha ndio kimemsogeza siku zake.
By the way hakuna fedha ambazo huwa zinapotelea bank,mwisho wa siku mrithi atazifatilia na watampa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…