Tupunguze Siri Wakuu

Hakika Sir.
 
Baada ya kupitia maoni yote kabisa ya Watu/wachangiaji hapa, naona kuna UMUHIMU mkubwa sana Watu waweze kuelimishwa kuhusiana na suala hili la USIRI au Siri.
But all in all, ifahamike Wazi kabisa kwamba suala hili la USIRI limebeba UZIMA na KIFO kuhusiana na maisha ya mhusika.
Kuna madaraja kama matatu hivi ya Siri, ambayo ni:-
1. Confidential.
2. Secret.
3. Top Secret.
Kila Daraja hapo lina kazi yake, na kuna Mazingira yake ya kuweza kutumika.

Muhimu kuzingatia ni kwamba, SIRI zako daima zinabeba hatma ya maisha na Uhai wako. Uzima wako au Kifo chako daima hubebwa na SIRI zako ulizonazo.
 
Waache wale Sir ilimradi ni Mtanzania mwenzako it's fine.
 
Word.
 
Point ni awepo mtu muaminifu ndani ya familia au wazazi wanaoweza kujua ni lipi unacho ama huna kwa sababu ni binadamu wachache wenye nyoyo za kutunza siri au asikufikirie mabaya pale anapojua kipato au kukua kwako.

Mara nyingine watu wanaficha ili kuepuka mengi mkuu. Kwa hiyo hii ni issue ya pande mbili, wenye mali waseme walichonacho lakini wahusika pia wajifunze tabia ya kuaminika ili waaminike. Sio mtu amekuambia ana nyumba moja, bhasi unafikiria kumuua ili urithi au kununa pasipo sababu ukinyimwa mahitaji flani unneccessary kwa sababu tu ana pesa ya kujenga
 
Wanaume wenhi wana hii tabia, wanaficha kuanzia pesa hadi tangible assets..sio mke wala watoto wanaojua. Jamaa yangu mmoja ana hii tabia na anasema wazi kabisa.
 
Kwanini mnaishi na hawa maadui mnaowaita wanawake? Kutwa kufunga nao ndoa...baby njoo tuishi wote ili iweje?
 
Hii kauli ya wanaume wanakufa mapema inaponza sana nani aliisema?
Bora angesema Kwa mke wake kwamba anaweka akiba bank fulan sio lazma aseme kias
 
Hakika uaminifu ndiyo nguzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…