Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,653
Mhhhh naogopajeee kupima,lately nmegain weight vizuri tu,so no worries naona,mana mhh
Hahahahahahahahah,
Hiyo theory yako inanitisha...kwa hiyo ukigain weight basi unajua huna kirus??
Kapime bwana,...unaweza kuongeza uzito kwa sababu nyingi tu ikiwemo kula kula kusikopangiliwa na wakati huo kirus kinaandaa majeshi ya kutosha ili kufanya shambulizi la awali!