Tupime afya zetu mapema jamani...ona sasa!

Tupime afya zetu mapema jamani...ona sasa!

This is some real warning thanks mkonowapaka...

Cc: [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teambazazi]#teambazazi [/URL] Mwenyekiti KakaKiiza, Katibu Nicas Mtei le Mutuz Ben Mugashe #JrBazazi Rogue na mayenga @counsultant Vin Diesel mhandisi Kipaji Halisi mweka hazina Mtambuzi mwenyekiti mstaafu Kaizer donor watu8 mlezi Asprin na sponsor Dar city.

Kapimeni...! Mimi hapa shemeji yenu akishapima sina haja ya kupima tena... (hapa asipaone)


PM Moderator, Mentor.

Mods wa Mabazazi,
Kwanza mimi sio LE Mutuz, pili unanipa wakati mgumu sana kuniweka kwenye chama chenu maana najua kazi inayoendelea hapo ni kujisafisha tu, ngoja niweke kumbukumbu sawa, Kwenye JF party ww ulikuja na nani? na uliondoka na nani? na Je aliyeleta ile keki ni nani? na je wakati unajitambulisha na mpwa wako Nicas Mtei mlikuwa na nia gani kama sio recruiting new Member wa #teambazazi na mwishoni mwa shughuli ile ww na bazazi wenzio na Nicas na KakaKiiza mliishia wapi?...Ukibisha naweka Picha maana mimi siku ile nilipewa kitengo cha kupiga picha mabazazi tu!!!
 
Ben Mugashe mwanaharakati wa kupinga au ni member mkamilifu maanawanakujua wote kuwauko kwenye #teambazazi na members wenzako akina Mentor na Rogie na Nicas Mtei na Asprin wanajua hilo

pinda.jpg
 
Unafikiri kupima miwaya ni sawa nakupima hako kamimba kako usikojoa nani baba wa mtoto mtarajiwa??:smile-big::smile-big:

Kwanza shikamoo...pili nitake radhi age is just a number...kwaio usichanganye mambo....io ni rapid test and not UPT....mayb watu8 akusaidie kuona
 
Kwanza shikamoo...pili nitake radhi age is just a number...kwaio usichanganye mambo....io ni rapid test and not UPT....mayb watu8 akusaidie kuona

Nakutaka radhi mpenzi wangu wa baadae:baby:
 
uzuri wa haya maisha hakuna atakaye baki ili awe wa mbegu ama atakaye baki ili awe mlinzi manake dunia hailindwi.

binafsi wala huo UKIMWI ambao watu wanauogopa sioni kama ni kitu cha kuogopa kama ilivyo hepatitis ambayo kwa sasa imeibuka sana kila kukicha wagonjwa wa maini wanaongezeka tuu ama kama ilivyo ugonjwa wa kansa ama diabetes na hypretension

uzuri wa mashudi utasumbuka wiki 3 ama 4 za kwanza ila ukisha maliza hapo mwendo mdundo manake wazuri wenye afya nzuri hapa mjini wengi wao mashudu yanawahusu. tena ukiwaona waliojikubali wala shida hawana manake wanakula vizuri na kupata dawa na maisha yanaenda kama kawa.

lakin kwa upande wa pili bhana hakuna atakaye baki awe wa mbegu so kila mtu awe mwamuzi wa mwisho wa kile akitakacho kwenye afya yake.
 
Ni muhimu kupima afya, na naipongeza serekali kwa kuweka ulazima wa Mama wajawazito kupima HIV na kuanzishiwa dawa kama atakuwa +ve regardless of CD4 or clinical stage, Hii itatuwezesha tu eliminate maambukizi ya mama kwenda kwa mtoto, Ni muhimu sasa tukaenda kwa yeyote +ve nae aanze ARV bila kuangalia CD4 na Stage Hii inaweza kusaidia kupunguza maambukizi mapya.
 
khaaaaaaaaa kumbe humu ni waoga kupima eeeeeh
mnanitishaje ikiwa nyie ndo mlioelimika
mnatakiwa muwe mfano na wahamasishaji kwa wengine ndo waoga hivi kijijini hali itakuwaje????????

mimi namshukuru mungu amenipa ufahamu wa hali juu kujitambua na kuthamini maisha yangu
na hata mtu akinikurupusha usiku wa manane niko tayari kupima
Vipi zile mechi za mchangani, hazikupi woga miss neddy?
 
Last edited by a moderator:
Mtaje na vituo vya kupima wengine utasikia ooh hatujui tukapime wapi?
 
Back
Top Bottom