Tupime afya zetu mapema jamani...ona sasa!

Tupime afya zetu mapema jamani...ona sasa!

Mkuu, una uhakika kuwa wote waliopima mapema mambo yalienda sawa? Wapo wengi baada tu ya kujigundua wanao waliondoka mapema zaidi... tunatofautiana ujasiri.

ile kitu inahitaji ujasiri aisee..................wengine walivotoka wakaenda kujitundika wengine ndo hao wameweza kuhandle positively
 
Naomba kujua maana ya@Bazazi jamani
'Valentina' hili swali hebu muulize mkuu wao Mentor NA Rogie WATAKUAMBIA MAANA YAKE NI NINI

mkonowapaka mbona wako wengi tuu na #teambazazi wote hawajawahi kunyanyaga mlango wa hospital kwenda klupima


Ahhhh mkuu Rogie umekuja kuna offer inatangazwa ya kupima na ukienda kupima na ukakutwa safe unazawadiwa mrembo mmoja ambaye nae yuko safi
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kupima yataka inataka moyo kama nyendo zako unaju kabisa kwamba zinatia shaka.
 
'Valentina' hili swali hebu muulize mkuu wao Mentor NA Rogie WATAKUAMBIA MAANA YAKE NI NINI


mkonowapaka mbona wako wengi tuu na #teambazazi wote hawajawahi kunyanyaga mlango wa hospital kwenda klupima



Ahhhh mkuu Rogie umekuja kuna offer inatangazwa ya kupima na ukienda kupima na ukakutwa safe unazawadiwa mrembo mmoja ambaye nae yuko safi

Mkuu mwambie Valentina aje tufanye practical ndiyo inaeleweka zaidi.

Aaah hapana mkuu...kupima na mimi ni maji na umeme.
 
Last edited by a moderator:
Kwa comments hizi zinazotolewa hapa bado nazidi kupata picha kuwa Tz bila UKIMWI haiwezekani! Watu mnaogopa kwenda kupima ila hamuoopi kuanzisha mahusiano mapya kila kukicha! What if mtu unao au yule unayehusiana naye anao! Si ndyo kuendelea kusambaza kila kukicha! Tubadilike jamani. Hivi karibuni tumezika mfanyakazi mwenzetu tena alikuwa mke wa mtu. Dada alikuwa anatembea nje kama hana akili nzuri. Alipoanza kuugua yeye alidai kalogwa na hosptal ikawa ni last option kwake. At the end kaja kwenda hospital while it was too late hakuweza kupewa hata ARVs! Angezitangatia kupima mapema pengine leo angekuwepo alee mtoto wake aliyemwacha. UKIMWI upo wandugu na unaua tuache kuufanyia mzaha!
 
Kupima ni paka pale mtu unaharisha kama ngisi, hivi hivi aisee utakufa kwa kirojo kabla mauti ali mauti kukufikia. Kwanza ukimwi wa siku hizi butuu. Dalili za aliye ambukizwa zinaanza kujitokeza after ten years kupita. Ule ukimwi wa kuanzia 1985 mpaka mwaka 1995 ulikuwa noma. Ukiiukwaa tu miezi sita dalili, mwaka ukiisha unaanza kuharisha, kukohoa koo koo kuuuuu huku unajamba. Mwaka moja na nusu niagieni niagieni mimi nakwenda kwa baba yangu, sito rudiii niagieni niagieni then uyo kwenye kiroba cha rambo kilo saba kwa kaburi kwa heri.
 
Kwa kifupi umeshajiaminisha kwamba unao na masiha yako yanaendelea...sasa kama unaamini hivyo si ndio rahisi zaidi kwenda kuthibitisha ukapatiwa matibabu husika na maisha yako yakaboreka zaidi.

Aaah mkuu mimi sina hiyo makitu aise.. Tunazungumzia ile courage tu ya kwenda kupima.
Kwanza mimi bado bikra 🙂
 
khaaaaaaaaa kumbe humu ni waoga kupima eeeeeh
mnanitishaje ikiwa nyie ndo mlioelimika
mnatakiwa muwe mfano na wahamasishaji kwa wengine ndo waoga hivi kijijini hali itakuwaje????????

mimi namshukuru mungu amenipa ufahamu wa hali juu kujitambua na kuthamini maisha yangu
na hata mtu akinikurupusha usiku wa manane niko tayari kupima
 
Back
Top Bottom