dadamkubwa
Senior Member
- Sep 3, 2013
- 115
- 21
khaaaaaaaaa kumbe humu ni waoga kupima eeeeeh
mnanitishaje ikiwa nyie ndo mlioelimika
mnatakiwa muwe mfano na wahamasishaji kwa wengine ndo waoga hivi kijijini hali itakuwaje????????
mimi namshukuru mungu amenipa ufahamu wa hali juu kujitambua na kuthamini maisha yangu
na hata mtu akinikurupusha usiku wa manane niko tayari kupima
Hata mimi aisee hata sa hivi niko tayari kupima naipenda afya yangu kuliko maelezo