mpyonko JF-Expert Member Nov 7, 2016 353 388 Mar 24, 2017 #1 "Mdomo wa mwenye hekima upo moyoni mwake bali moyo wa mpumbavu upo mdomoni mwake"
nguriti Senior Member Nov 16, 2016 121 137 Mar 24, 2017 #3 Mpumbavu husema ya sirini hadharani na ya hadharani huyafucha
asha ndala ndefu Member Feb 24, 2017 56 66 Mar 24, 2017 #5 Laana ya aliyempitisha sinzoshe haitafutika maisha yake yote
asha ndala ndefu Member Feb 24, 2017 56 66 Mar 24, 2017 #6 bujumbura said: Ukitaka kutumbuliwa mguse bashite Click to expand... Tena mguse kwenye mtandao pandwa
bujumbura said: Ukitaka kutumbuliwa mguse bashite Click to expand... Tena mguse kwenye mtandao pandwa
nyambotoni JF-Expert Member Nov 17, 2014 411 1,767 Mar 26, 2017 #7 "the person's tongue can give you the test of his heart"