njia ya chooni haioti nyasi.
in God we trust-dar express!au hapa zinaandikwa za ajabuajabu tu?
Kuku hamu ,mboga dagaa
Ndege wote waimbe lakini sio Bundi
nimesoma moja.limeandikwa KULA ULIWE
raha ya chips mimba......
nyama zote sawa,tofauti ni ngozi tu!
Meli ya ugiriki<daladala katesh-endasak>