Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

kuna lorry lilituchomekea nyuma limeandikwa '' UMEKASIRIKA? hafu tulikuwa tumekasirika kweli ikabidi tucheke.
 
mwanaume hasingiziwi mimba-MPOKI
Hapana aisee hapo ume2danganya, wanaume kibao wamesingiziwa mimba...Inawezekana ulimnukuu vibaya. UKWELI NI KWAMBA MWANAMKE NDIYE AMBAYE HUWA HASINGIZIWI MIMBA KWASABABU YEYE NDIYE MBEBAJI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom