Tupia kikosi chako bora cha muda wote duniani

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Dec 7, 2019
3,837
6,373
Wasalaam


Nakumbuka nlitengana na mpenzi wangu mmoja kisa , mpira

Mpira ni furaha yetu , tuna furaha nyingi sana ila mpira hauna kifani .
Mpira unatuumiza sana sometimes pale , timu zetu zinapokumbana na zahma tusiyoipenda

Lakini yote kwa yote, Mpira ni muhimili wetu.

Nakumbuka msemo wa Rafiki yangu mmoja chuoni alikuwa anawambia Marafiki zetu wa kike kwamba
"Kama mwanaume wako hapendi mpira , ni heri ukamfundisha na kufuma vitambaa'

Tuachane na huyo jamaa.

Leo hapa nataka uniwekee kikosi (first Eleven ) Yako/chako bora cha muda wote toka uanze kutazama mpira.
Cha wachezaji wako pendwa katika kikosi chako, mpaka hivi sasa.

Naanza mimi

1. Manuel Neuer
2. Kyle Walker
3. Marcelo
4. Sergio Ramos
5. Cannavaro
6. Sergio Busquets
7. Ronaldinho
8. Iniesta
9. Ronaldo CR7
10. Messi
11. Neymar


Coach Guardiola

Tupia nawewe kikosi chako bora cha muda wote

NB: Kwa mtazamo wako
 
Wasalaam


Nakumbuka nlitengana na mpenzi wangu mmoja kisa , mpira
Mpira ni furaha yetu , tuna furaha nyingi sana ila mpira hauna kifani .
Mpira unatuumiza sana sometimes pale , timu zetu zinapokumbana na zahma tusiyoipenda



Coach Guardiola

Tupia nawewe kikosi chako bora cha muda wote




NB: Kwa mtazamo wako
Umenikosha ulipo muweka Sergio busquets
 
1- Oliver Kahn
2- Cafu
3- Ashley Cole
4- John Terry
5- Franco Baresi
6- Claude Makelele
7- Andrea Pirlo
8- Ricardo Kaka
9- Ronaldo Delima
10- Ronaldinho Gaucho
11- Rivaldo
Formation ni 4-2-3-1
Coach ni Vicente Del Bosque
Home Ground ni Maracana
Pirlo number 7 duh
 
1. Abtwalibu msheri
2. Israel Patrick mwenda
3. Hance masoud
4.Abdulnajid Mangalo
5.Kennedy Juma
6.Juma Nyangi
7.Hassan kabunda
8. Awesu Awesu
9.Paul Nonga
10.Abdalah Sopu
11. Tepsie Evance

Kocha : Amri kiemba

Subs:, James setubar, sospiter bajana, Yassin Mustapha,Jacob masawe, Revocatus Richard, Dicson Ambundo, Dickson job

Hichi kikosi nachukua ubingwa NBC primer league
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom