Ah umenikumbusha maicon, beki aliyetolewa pumu na gareth bale🤣🤣🤣🤣1Edwin van der sar
2maicon
3roberto carlos
4maldin
5puyol
6iniesta
7dunga
8xavi
9klose
10mess
11gaucho
4 3 3
Je kikosi cha ac milan cha 1989 cha arrogho sachi utakiweka wapi? Maana wajuzi wa mambo wanakwambi ata kikosi cha barca hakifui dafuChukueni kikosi cha Barcelona 2008_2012 kiwe XI of all times
HatareeeDah. Van de sar, zidane, giggs, scholes, rooney, carzola, van persie, ribbery,robben, xavi, beckham, de lima, lewandowsk, daaah! Vidic, evra, marcelo, muller,alves,modric, buffon, terry, viera, henry, hazard, ibrahimovic, ramires...tores, eto'o,drogba, kaka, aisee ni wengi mno japo sijataja kikosi kwa mpangilio maana ni wemi sama.
1. Oliver KhanWasalaam
Nakumbuka nlitengana na mpenzi wangu mmoja kisa , mpira
Mpira ni furaha yetu , tuna furaha nyingi sana ila mpira hauna kifani .
Mpira unatuumiza sana sometimes pale , timu zetu zinapokumbana na zahma tusiyoipenda
Lakini yote kwa yote, Mpira ni muhimili wetu.
Nakumbuka msemo wa Rafiki yangu mmoja chuoni alikuwa anawambia Marafiki zetu wa kike kwamba
"Kama mwanaume wako hapendi mpira , ni heri ukamfundisha na kufuma vitambaa'
Tuachane na huyo jamaa.
Leo hapa nataka uniwekee kikosi (first Eleven ) Yako/chako bora cha muda wote toka uanze kutazama mpira.
Cha wachezaji wako pendwa katika kikosi chako, mpaka hivi sasa.
Naanza mimi
1. Manuel Neuer
2. Kyle Walker
3. Marcelo
4. Sergio Ramos
5. Cannavaro
6. Sergio Busquets
7. Ronaldinho
8. Iniesta
9. Ronaldo CR7
10. Messi
11. Neymar
Coach Guardiola
Tupia nawewe kikosi chako bora cha muda wote
NB: Kwa mtazamo wako
hivi mkuu Paul Scholes alikua ni namba 6 kweli au unataka kumuonea tuWabongo chenga sana. Umeambiwa kikosi bora duniani wewe unaweka kikosi sijui Kaseja, Ambundo, Aucho , pawasa, feisal..Anyway ngoja niachane na masihara yenu ya kimburula.
Kutana na kikosi hatari hapa chini cha miaka ya karibuni ya 2000..
(1) Oliver khan
(2) CAFU
(3) Rorbeto Carlos
(4)Nesta
(5)Cannavaro
(6)Paul scholes
(7) Christiano Ronaldo
(8) Ronadinho
(9) Ronaldo de lima
(10) Zizzou
(11) Lionel Messi
Mfumo 4-3-3
Hiki ndiyo kikosi kilichomfumua mtani 4.1 pamoja na kupigiwa mwingi lakini ndiyo kikosi kilichofunga goli nyingi sana kwenye ligi kuu.Nmemuona Okocha hapo kweny sub bench
Na Phil Foden naye si haba.Moja ya kipaji nimewahi kukiona kwa waingereza ni Paul Scholes
1.Edwin Van de sar.
2.Trent Anorld Alexander.
3.Paul Maldini.
4.Sergio Ramos.
5.Fabio Cannavaro.
6.Xavi Hernandez.
7.David Villa.
8.Santiago Cazorla.
9.Thiery Henry.
10.Leo Messi.
11.Christian Ronaldo.
Coach: Jurgen Klopp.
messi akikosa hio ni upuuzi
Hatari saana mkuu yeye na wenzake Saka na Mason Mount