Castro A
Senior Member
- Feb 19, 2016
- 194
- 122
Karibu mkuu..mziki wa zamani ulikuwa hauchoshii mana hata hizo beats zilivyokuwa zinasukwaa ni aibuuu zimeshiba hatariii!!Daah mkuu ahsante sana naona mda ujao ntatoa uzi utakao waomba wadau watume nymbo za kitambo za bongo fleva zilizokubalika maana naona mnanipa vtu adimu