Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,379
- 56,095
acha tu!naupenda sana huu wimboHaka kanyimbo kamenikumbusha mbali kipindi namfatilia mtoto S....mweeh! Kalikuwa kananipa majibu ya karaha nakaimbia Ntasubiri kama Mr.Blue napendega pale anapoimba "Miezi inapita....na Siku zinapita...