Tupia jina la wimbo bora kwako!

Tupia jina la wimbo bora kwako!

Binti amka acha huzunika
Binti amka acha sikitika
Binti amka jikaze anza mwendo
Binti u mrembo na bado wang'ara

Unadiriki kusema huwezi ishi bila yeye
Miaka iliyopita hukumjua ni nani yeye
Mbona uliishi na umekua mkubwa sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom