Tupia jina la wimbo bora kwako!

Tupia jina la wimbo bora kwako!

Mawa wa Fally Ipupa, mimi sina busha la kushikilia kama waimbaji wa Bongo fleva wanavyojishika chini pindi wanaimba
 
Mawa wa Fally Ipupa, mimi sina busha la kushikilia kama waimbaji wa Bongo fleva wanavyojishika chini pindi wanaimba
Mkuuu unatafutwa upewe alichofanyiwa Mr nice na Dudu baya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Solo Thang,Prof J & Afande sele - MTAZAMO.
"Tazama mbele usijwe ukanywa chai kw mluzii..Verse ya prof J ni shidaaa.."

Ngoma haichujiii hii maskioni mwangu!!

Naamini askari shupavu na lazima upitie depo vinginevyo ndugu yangu utakuwa unapaka rangi upepo,

Hii ngomba haitakuja kuchuja ni kali sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom