Tupia jina la wimbo bora kwako!

Tupia jina la wimbo bora kwako!

Wakuu kuna wimbo unaitwa Rissa kaimba R tony daa naupenda kinoma kama kuna mtu anao anishushie nitamshukuru sana
Kibwagizo kidogo uliibwa hivi
"Rissa nisikilize mamii sichenguki na masister duu niwewe tu maami ninaekupenda laidy basi ma usiniweke roho juu mchana usiku mawazo tu juuu.." hahaha hatari sana
 
Ferre Gola kibao biberon
 

Attachments

  • 1471783539845.jpg
    1471783539845.jpg
    28.6 KB · Views: 41

Similar Discussions

Back
Top Bottom