never Se me
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 702
- 1,013
umenifurahisha kukubali masahihishoWewe uko sawa kabisaa.
umenifurahisha kukubali masahihishoWewe uko sawa kabisaa.
2006 ni kitambo. Umri wa mtu
Archimedes principles states that when a body is totally or partially immersed in water the weight of fluid displaced is equal to the weight of the body.
Sijui Niko sawa mana 2006 ni kitambo. Umri wa mtu Yani.
Matter is any thing that has mass(weight) and can occupy space.Matter is anything that occupy space
Biology is a study of living things
Kuna zile laboratory rules
Don't enter in the laboratory
Don't touch anything in the laboratory without permission
Don't don't kama zote
Ila elimu ya bongo miyeyusho sana.
I am here to parpertuate the parpertuation which wa parapertuated by the former parpertuator sijui kama nimepatia
Tukisema nasibu tunamaanisha hakuna kundi maalum lilikaa na kujadiliana sauti zipi zitumike kuwasiliana isipokuwa ilitokea tuuulakini mpaka leo sielewi wala sijawahi kuelewa nasibu ni nini na imeingiaje hapo kwenye sauti..
kwahyo hata alieamua huko kutokea tu kuitwe nasibu hajulikani...Tukisema nasibu tunamaanisha hakuna kundi maalum lilikaa na kujadiliana sauti zipi zitumike kuwasiliana isipokuwa ilitokea tuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanaweza yasipotee hasa misim zagao baadae yakasanofiahwa na kuwa lugha sanifu kama daladala,miwaya.....Misimu ni maneno yanayo zuka na kupotea
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nasibu means kitu kisichotegemewa then kikatokea...kwahyo hata alieamua huko kutokea tu kuitwe nasibu hajulikani...
Kumbe ndiyo maana sikuwahi kupata ABiology is the study of life of living things.Matter is any thing that has mass(weight) and can occupy space.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanaweza yasipotee hasa misim zagao baadae yakasanofiahwa na kuwa lugha sanifu kama daladala,miwaya.....
Sent using Jamii Forums mobile app