Tupia Definition moja ya Secondary unayoikumbuka

Tupia Definition moja ya Secondary unayoikumbuka

Miaka ile nipo skonga...tulikuwa tunameza vitu vizima vizima..hata mwalimu akikosea unameza hivyo hivyo...kukariri haijawahi kumuacha mtu salama
 
mi ya difinisheni sijui, nachojua ni all real numbers
 
Geography is the study of earth and its sorroundings....sijui hata inaendeleaje...😄😄😄😄
 
lakini mpaka leo sielewi wala sijawahi kuelewa nasibu ni nini na imeingiaje hapo kwenye sauti..
Arbitrary kwa kimombo. Ni ishu pana unayoweza kuiandikia kitabu.

Lugha ni sauti za nasibu....ikiwa na maana hakuna uhusiano wowote wa maneno ya lugha, matamshi yake na vitu vyenyewe.

Mfano neno simu.

Hakuna uhusiano wa neno simu na simu. Au neno mtu na mtu mwenyewe hakuna uhusiano. Jamii imekubaliana pasipo kikao chochote kutumia neno mtu kuwakilisha kiumbe cha kike au cha kiume kama wewe hapo.

Nasibu ni neno lenye maana ya jambo au kitu kinachotokea bila kupangwa.
 
hahahaa nimeelewa sasa ila pia ntarudia rudia kusoma mpaka niweze kumuelekeza mtu nasibu ni nini....nashukuru sana mkuu daby..
 
COLONIAL ECONOMY....was the system of production and consumption which introduced by colonialists to their colonies.

NATIONALISM....was the desire of African countries to regain their lost independence/to govern them selves.

SLAVE TRADE......was the systeme of buying and selling human being as commodities or goods.....For example It conducted in Tanzania by Ccm.
 
History is the study of past and present events....ushamaliza unaenda swali lingine
 
Back
Top Bottom