Tupia Definition moja ya Secondary unayoikumbuka

Tupia Definition moja ya Secondary unayoikumbuka

kwahyo hata alieamua huko kutokea tu kuitwe nasibu hajulikani...
Hajulikan ndugu yangu....lkn kwa level ya chuo kulikuwa na nadharia mbalimbali za asili ya lg ndio ikatokea nadharia ya kodini inayodai kulikuwa na lugha moja kutokana na ujenzi was mnara wa baberi Mungu aliwapa lugha tofauti ili washindwe kuwasiliana lkn pia ukitaka ujue lg no nasibu ukichukua watt wanne waliozaliwa ukawafungia shm ambayo hawawasilian Wala kusikia sauti ya mwanalugha yoyote wakifikia uwezo wa kuongea watatengeneza lugha yao na wataelewana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Volume is amount of space occupied by a substance.
 
Volume is amount of space occupied by a substance.
 
Double entry system is the book keeping principal which call of record each business transaction twice, debit entry can corresponding credit side,and credit entry can corresponding debit side of the same amount.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah...
IC ni seti ya saketi za kielektoniki vilivyoungwa pamoja kwenye kipande kimoja kwa kutumia nusu vipitisho ambavyo mara nyingi huwa silikoni

Sent using Beretta ARX 160
 
Kwa wale tuliobahatika kusoma hebu weka Definition moja unayoikumbuka iwe ya Form 1, 2, 3 or 4.

Mim naanza na

Microscope - is an instrument used to magnifying small objects.
everybody will continue on its state of rest or uniform motion provided that no external force acting on it... newtons 1st law au law of inertia.. kitambo sanaaa
 
In every action there is an equal and opposite reaction...sijui ni newton's law ya ngapi ila siji kuisahau kamwe!
 
Back
Top Bottom