una uhakika gani
Dah hiyo ni Adv Chemistry kabsa,big up
Bado naweka pamoja vijisenti vya box mzee ili nikishuka huko niweze kumdu kwenda sokoni angalau kwa wiki moja kabla sijaanza kugongea lolHivi unarudi lini tuimarishe chama Serengeti au umenogewa na kupiga box??
sisi ni maviazi sana yani unakuta mtu anajisifia kua anakunywa jacks na wakati kuna brand za ukweli hapa home..! mimi nadhani mda wa kuona kua vya nyumbani ni bomba umefika ili tuamke kiuchumi..!