Tupende vy Nyumbani; Hii brand inatengenezwa kwa umahiri mkubwa sana, Karibuni sana!!

Ujue zamani gongo ilikuwa ikinunuliwa kutoka popote na kiwanda cha Konyagi - ilikuwa inafanyiwa ukarabati kidogo tu halafu wanaiweka kwenye package za kisasa.
 
una uhakika gani

Mkuu unakula sana
konyagi.jpg

Yawezekana ulikula gongo mara kadhaa ni kawaida!
 
badala mgambo kuwaghasi hawa wajasliamali ni vyema serikali ikawajengea uwezo kama vile packaging na kuboresha mazingira ya uzalishaji wa hizi products.tuchukue mfano wa mafanikio ya chibuku na banana.
 
eti ni ukweli hutumika kama mafuta ya ndege, tulikuwa tunaambiwa hivyo utotoni
 
Hii mitambo kiboko wengine imetukuza maeneo ya mto manchira wazee wetu walikuwa na vijiwe vyao pale vya kuhifadhia hiyo mitambo na kuzalisha hiyo kitu! lol

Hivi unarudi lini tuimarishe chama Serengeti au umenogewa na kupiga box??
 
sisi ni maviazi sana yani unakuta mtu anajisifia kua anakunywa jacks na wakati kuna brand za ukweli hapa home..! mimi nadhani mda wa kuona kua vya nyumbani ni bomba umefika ili tuamke kiuchumi..!
 
sisi ni maviazi sana yani unakuta mtu anajisifia kua anakunywa jacks na wakati kuna brand za ukweli hapa home..! mimi nadhani mda wa kuona kua vya nyumbani ni bomba umefika ili tuamke kiuchumi..!

Ukweli mtupu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom