mkarimani feki
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 302
- 1,136
Wadau hali ya kiuchumi ya watanzania inajulikana , wengi wetu vipato vinasua sua sio kwa jobless ama employee iwe public ama private entity.
Wakuu nimekuja hapa tupeane updates ni mkoa gani ama wapi hapa nchini kwetu unaweza wekeza kwenye zao la kudumu likakupa pesa kwa kipindi kirefu.
N.B Mimi ni mtumishi wa halmashauri ya Buhigwe natafuta unafuu wa kiuchumi