Aisee wewe ni mwamba wa excelWenye changamoto za Ms Excel mmeisha?
Haya hebu nisaidie dondoo za kutengeneza project management template ambayo nikiingiza tarehe za task inajizaja na bar yenye rangi
Zile tarehe za juu ndio huwa zinanichanganya sana
Aisee wewe ni mwamba wa excelWenye changamoto za Ms Excel mmeisha?
Huwa haziishi mkuu,sababu kila leo functions zinakuja mpya kutokana na versions za excel,Sahivi kuna TCol,Filter na mengine mengi ambayo yanakwambia Vlookup au IndexMatch ziko outdatedWenye changamoto za Ms Excel mmeisha?
Hii mpaka uwe kwenye field husika either ni Accountant,Engineer au ni Data au financial analyst yaani kwako ikiwa ni zoezi endelevu utaijua tu, anza na basics kwanzaNina topics zote za excel kwa njia ya video, lakin had leo huwa sielewi kitu chochote
Huko nshashindwa mie.. 🙏Hii mpaka uwe kwenye field husika either ni Accountant,Engineer au ni Data au financial analyst yaani kwako ikiwa ni zoezi endelevu utaijua tu, anza na basics kwanza
Umeiaminisha subconscious mind yako kuwa huwezi na kilichotokea ndio reality.Huko nshashindwa mie.. 🙏
Hamna sijakimbia mkuu, Excel ndio huwa inanikimbia mimi[emoji846]Mbona njuka kakimbia swali langu
Hiyo unatumia conditional formatting, unaweza ukatengeneza table yenye columns ndogo ndogo then ukazipa values (dates) na kuziwekea conditional formatting. Utakapojaza tarehe husika, raw inajifill color yenyewe kulingana na idadi ya siku. Ukihitaji kutengenezewa nicheck, leo leo kazi inaishaAisee wewe ni mwamba wa excel
Haya hebu nisaidie dondoo za kutengeneza project management template ambayo nikiingiza tarehe za task inajizaja na bar yenye rangi
Zile tarehe za juu ndio huwa zinanichanganya sana
Leteni hizo changamoto, ulizieni na kwa majirani kama wanazo changamoto wawapatieni mzileteHuwa haziishi mkuu,sababu kila leo functions zinakuja mpya kutokana na versions za excel,Sahivi kuna TCol,Filter na mengine mengi ambayo yanakwambia Vlookup au IndexMatch ziko outdated
Utani tu bingwaHamna sijakimbia mkuu, Excel ndio huwa inanikimbia mimi[emoji846]
Asante nitajaribu nilete mrejeshoHiyo unatumia conditional formatting, unaweza ukatengeneza table yenye columns ndogo ndogo then ukazipa values (dates) na kuziwekea conditional formatting. Utakapojaza tarehe husika, raw inajifill color yenyewe kulingana na idadi ya siku. Ukihitaji kutengenezewa nicheck, leo leo kazi inaisha
Hebu tuangalie jinsi ya ku interpretate function Arguments let say tuingize formula yetu hii kwenye attachment kwenye Function Argument ilete matokeo yale yale kama ulivofanya awaliLeteni hizo changamoto, ulizieni na kwa majirani kama wanazo changamoto wawapatieni mzilete
Excel ni mahesabu na sio picha za udaku inahitaji kufikiria sana nakumbuka wakati nafanya mtihani wa database mwalimu aliruhusu kugerezea Sasa basi watu wengi walifail mtihani hata wale waliokuwa na akili nyingi mwalimu akasema Bless on hata kama kagerezea Lakini katumia akili watu wote mimacho kwangu.Nina topics zote za excel kwa njia ya video, lakin had leo huwa sielewi kitu chochote