Ni ishara ya laana juu ya nchi kwa kumwaga damu zisizo na hatia.Recently nimekula sana root za Iringa, mbeya, Njombe na Songwe
Mbeya kiujumla ukitoa maeneo yanayopokea mvua mwaka mzima ........ mvua imekata myez kadhaa nyuma. (Mazao yameharibika sana )
Wale wenye mazao waliwah kupanda mwez november mwaka Jana ndo wamevuna ila walopanda mwez December na januatmry imekua kasongo.
Iringa kwa sehem kubwa pakavu isipokua mufindi kuna maeneo imenyeshq sana mwez wa tano na wasita mwanzoni.
Jombe kwa sehem kuna sehem bado inaibia ibia kwa ila kwa ukubwa nao wapo kiangazi.
Songwe kiujumla ukiacha maeneo yanayopokeq mvua mwaka mzima pia ni kukavu hadi sio poa mazao at large yameharibika.
Sasa nashangaa sana pwani na Dar mvua inatafuta nini huko wakati imeqcha mahindi na mpunga Mbeya
Pole. huku mvua aka mwezi wa tatu mwishoni mpaka leo inanyesha. Juzi kurudi nyuma ilikata kama siku tatu......jana mpaka leo inayesha tu! Kubwa!Recently nimekula sana root za Iringa, mbeya, Njombe na Songwe
Mbeya kiujumla ukitoa maeneo yanayopokea mvua mwaka mzima ........ mvua imekata myez kadhaa nyuma. (Mazao yameharibika sana )
Wale wenye mazao waliwah kupanda mwez november mwaka Jana ndo wamevuna ila walopanda mwez December na januatmry imekua kasongo.
Iringa kwa sehem kubwa pakavu isipokua mufindi kuna maeneo imenyeshq sana mwez wa tano na wasita mwanzoni.
Jombe kwa sehem kuna sehem bado inaibia ibia kwa ila kwa ukubwa nao wapo kiangazi.
Songwe kiujumla ukiacha maeneo yanayopokeq mvua mwaka mzima pia ni kukavu hadi sio poa mazao at large yameharibika.
Sasa nashangaa sana pwani na Dar mvua inatafuta nini huko wakati imeqcha mahindi na mpunga Mbeya
Matibholwa ndio manini mkuu?Nipo Usoke Tabora.Ni jua tu tumeanika matobholwa.
Dada za siku ? Nakusalimia .Kwa mara ya kwanza nashuhudia kipupwe na mvua vikiwa pamoja......namshukuru mama
🤣🤣🤣🤣😀😀😀😀😀🤣🤣🤣🤣Nipo Usoke Tabora.Ni jua tu tumeanika matobholwa.
Matobholwa ni viazi vilivyopikwa,kukatwa vipandevipande na kuanikwa.Ni aina ya utunzaji wa chakula kwa ajili ya vipindi vya ukame au majira ambayo vyakula hivyo si rahisi kupatikana.Vyakula vyaweza kuwa mihogo(makopa),viazi(matobholwa),mboga za majani/kunde na majani ya maharage(nsansa),mlenda(nswalu)viazi ambavyo havijapikwa(michembe/makewe),nyama(mkutira)nk.Wigwa mwanawane?Matibholwa ndio manini mkuu?
Hapo nimekupata mkuuMatobholwa ni viazi vilivyopikwa,kukatwa vipandevipande na kuanikwa.Ni aina ya utunzaji wa chakula kwa ajili ya vipindi vya ukame au majira ambayo vyakula hivyo si rahisi kupatikana.Vyakula vyaweza kuwa mihogo(makopa),viazi(matobholwa),mboga za majani/kunde na majani ya maharage(nsansa),mlenda(nswalu)viazi ambavyo havijapikwa(michembe/makewe),nyama(mkutira)nk.Wigwa mwanawane?
Ndoho mihayo mnwana wane.Hapo nimekupata mkuu