Asilimia kubwa nyumba za kupanga makazi hazijatengenezwa kama za kupanga

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,740
Siku moja nilibadilishwa kikazi kufanya sehemu nyengine mkoa X .

Nikatafuta dalali kutaka nyumba ila kila napo pelekwa naona tu ni kama nyumba nyingi zimeamuwa kubadilishwa kuwa za kupangishwa au kulazimishwa tu sababu ya vigezo wanavosikia madalali.

Unakuta nyumba unaambiwa ni self container ila unajiuliza walifanyeje mpaka ikawa hivo yani kulazimisha tu.

Utengenezaji wa nyumba nafasi ni ufinyu mpaka unashindwa kununua vitu vingi sababu ya nyumba yenyewe.

Mwenye nyumba na wapangaji ili nalo yani mwenye nyumba kuwa na banda ya nyuma na yeye anapangisha.

Lingine kuishi na mwenye nyumba sehemu moja.

Ukilinganisha na nchi nilizo kwenda unaona kabisa ukitaka nyumba ya kupanga au chumba unajua kabisa maitaji yako yanaendana na ulichotaka
 
... ni jukumu la serikali kujenga nyumba za kutosha (flats) na zenye miundombinu yote wezeshi kwa ajili ya wananchi. Bahati mbaya ndio hivyo tena kila mtu ajiendee kivyake hadi vibanda vya ajabu ajabu vinaitwa nyumba za kupangisha!
 
Lengo la uzi lilikuwa hapa.
Haya tuambie umeenda nchi ipi na ipi na nyumba zao za kupangisha wanajenga vipi ?
Huu ndio uasili wa mwafrica, Wivu tu. Changia mada achana na hayo mengine.
Utakufa kwa wivu mwamba kwa vitu visivyokuwa na maana kwako

Yaani uzi mzima umeona hicho tu? Lakini pia unajuaje kama jamaa hajafika huko anakokusema?
 
Huu ndio asili ya mwafrica, Wivu tu. Changia mada achana na hayo mengine.
Utakufa kwa wivu mwamba kwa vitu visivyokuwa na maana kwako
Wivu gani dogo tuliza kalio. Nachangia kilichopo kama unaona kero temana na comment yangu au wewe ni mke wa mleta post umeumia ?
 
Sawa mkewe nimekuelewa maana imekuuma
kwa namna yoyote ile ukweli utakuwa umeupata, Ustarabu ni kuchangia post za wengine kwa staha kama unaona haikufaa unaachana nayo.

Vinginevyo jikite kutafuta pesa ili uondokane na tabia ambatanishi na vinasaba vya umasikini, Zikiwemo wivu, makasiriko na vinyongo
 
Siku moja nilibadilishwa kikazi kufanya sehemu nyengine mkoa X .
Nikatafuta dalali kutaka nyumba ila kila napo pelekwa naona tu ni kama nyumba nyingi zimeamuwa kubadilishwa kuwa za kupangishwa au kulazimishwa tu sababu ya vigezo wanavosikia madalali.

Unakuta nyumba unaambiwa ni self container ila unajiuliza walifanyeje mpaka ikawa hivo yani kulazimisha tu.

Utengenezaji wa nyumba nafasi ni ufinyu mpaka unashindwa kununua vitu vingi sababu ya nyumba yenyewe.

Mwenye nyumba na wapangaji ili nalo yani mwenye nyumba kuwa na banda ya nyuma na yeye anapangisha.
Lengine kuishi na mwenye nyumba sehemu moja.

Ukilinganisha na nchi nilizo kwenda unaona kabisa ukitaka nyumba ya kupanga au chumba unajua kabisa maitaji yako yanaendana na ulichotaka

kuna nyumba za kupanga na kuna appatiment
Hapo ni hela yako tuu
 
kwa namna yoyote ile ukweli utakuwa umeupata, Ustarabu ni kuchangia post za wengine kwa staha kama unaona haikufaa unaachana nayo.

Vinginevyo jikite kutafuta pesa ili uondokane na tabia ambatanishi na vinasaba vya umasikini, Zikiwemo wivu, makasiriko na vinyongo
Madogo wanamakasiriko sana hii yote sababu ya CCM kuwafukarisha
 
Kwenye nyumba za kupanga huu ni kero kubwa , wapelekwa nyumba self lakin ukifika hata hamu ya kulipa inakata wengi tukaa kweny nyumba za hovyo sema ndo maisha tuu magumu tunakomaa hamna namna .
 
kwa namna yoyote ile ukweli utakuwa umeupata, Ustarabu ni kuchangia post za wengine kwa staha kama unaona haikufaa unaachana nayo.

Vinginevyo jikite kutafuta pesa ili uondokane na tabia ambatanishi na vinasaba vya umasikini, Zikiwemo wivu, makasiriko na vinyongo
Hakika umemuweza
 
Back
Top Bottom