Tupe ushuhuda wa mapenzi yako hapa

Tupe ushuhuda wa mapenzi yako hapa

Aiyaaa miss u
622019d04010230ebd0a1cf13936a527.jpg
Miss you too Miss Natafuta
 
Kuna mtu nataka nianzishe naye mahusiano tena iwe couple imara kama the bold na nifah popote alipo ukipita hapa naomba u like nina upendo wako umejaaa gunia fanya haraka kabla sjabadilisha maamuzi wewe kaka unanitesa sana moyo wang

Nakupenda hata kama una sura mbaya maneno yako tu mm yananikosha mwezio hivi hauoni tu kama nakupenda

Likes zote hizo ninazokupa haujishitukiii wewe mtu gani?

Japo ulininyima kapicha kako kwa kuogopa eti una sura mbaya
Aliyekwambia mm napenda handsome nan mm napenda mtu anayeshuka madini

Hebu acha kunitesa mtoto wa mweziooo wewe kaka jaman

Wacha nilie tu hakuna namna
Asante jaman hatimaye umelike umejuaje kama nakupenda waooooh unanipenda au maana huuu msimu wa mapenzi mubashara

Nina furaha waooooo

So mwaaaaah

Jaman wamekutag nn

Au kuna mtu kakuchombea

Lov u so mwaaaaah

Iam humble you know (Lemutuz voice)
 
Mimi nishapendwa sana na bado napendwa,, kuna mkaka ananipenda sana na juzi kati Hapa ulikuwa kuniona Anafanya kazi UN ni mzuri, Kila kitu anacho nadhan, Ana heshima sana Pamoja na kuwa na kazi kubwa, Nampenda japo mimi kuna mtu Nampenda zaidi yamekuwa Kwenye mgogoro mwaka nadhan sasa, huyu ndio nnaempenda sana Kuzidi Kila kitu japo huniamini amigo Kwa sasa lakin anafaa Kuwa mime kabisa
Wapo wengi tu wanaompenda sema hawezi kuwa nao wote
Kwako wewe anda kujipenda mwenyewe, jifunze kupenda wengine, acha ubinafsi, chagua mtu sahihi wa Kuwa nae Jitahidi umbadilishe asipobadilika tua kule, tafuta mwingine Tena utapata usikate tamaa
Hakuna kukata tamaa. Ukiachana na mmoja sio mwisho wa maisha. Mie ninavyojiamini kupendwa jamani basi tu sipati wa kumpenda. Ila kuna watu wananipenda hadi natamani Mungu anipatie upendo kidogo tu juu yao.
 
Asante jaman hatimaye umelike umejuaje kama nakupenda waooooh unanipenda au maana huuu msimu wa mapenzi mubashara

Nina furaha waooooo

So mwaaaaah

Jaman wamekutag nn

Au kuna mtu kakuchombea

Lov u so mwaaaaah

Iam humble you know (Lemutuz voice)
Aaaaaah mshukuru inn
 
Hakuna kukata tamaa. Ukiachana na mmoja sio mwisho wa maisha. Mie ninavyojiamini kupendwa jamani basi tu sipati wa kumpenda. Ila kuna watu wananipenda hadi natamani Mungu anipatie upendo kidogo tu juu yao.
Yaan Ndio hivyo mi moyo wangu mgumu na ni tofauti sana, huwa sipati Tamaa eti kisa mtu mmoja au wawili asiejua thamanii yako achana Tena kimya kimya tu,, Nenda Kwa wanajua thamanii yako basi
 
Yaan Ndio hivyo mi moyo wangu mgumu na ni tofauti sana, huwa sipati Tamaa eti kisa mtu mmoja au wawili asiejua thamanii yako achana Tena kimya kimya tu,, Nenda Kwa wanajua thamanii yako basi
Shida ni kwamba atapata mtu ataonyesha kumpenda na yeye atakua anataka wahusiane ila ataogopa kujitosa kwa sababu tu ameshajiwekea hamna mtu anaeweza kumpenda. Mimi najua tatizo liko kwangu ila kwa wanaume nina uhakika nao. Na nilivyo nikikuelewa sitajali wewe unakuja kwangu unapita au unataka kuweka makazi ila sitaacha kujipa nafasi ya kuanzisha kitu kikishindwa basi ndo maisha.
 
Ajaribu hivyo pia, leo keyboard yangu inanifanyia mabaya mimi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom