Tupate wapi tena Rais kama huyu?

Tupate wapi mtu kama huyu??!
 
Tuchape kazi kwa bidii,
 
Rais Samia ni jembe kweli kweli,
 
Hii ni nzuri sana aise,
 
Nampenda Sana mama yetu Samia lkn atusaidie jambo, tamisemi Kuna shida hawa Maafisa Elimu wafumuliwe.
 
Kwa kweli tumshukuru Mungu kwa kufanya lake jambo tarehe 17:03:2021 liliopelekea huyu mama akakaa kitini. Anatupeleka vizuri.
Ngoja lifanyike lake jambo tena akae Bwana Planning mje msifu na kuabudu tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…