nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 6,846
- 12,021
Kwenye ndoa, dawa ya moto ni maji...Mnajichagulia vya unafuu! Angekuwa huyo dada ndio anaanzisha matatizo mngebwatuka vibaya mno kwenye comments, ila kwavile mnajuana basi mnamchagulia maamuzi! Mtu anapita na majirani marafiki wote eti atapunguza ujinga! Dawa ya moto ni moto!!
Mimi sisemi Mimi sisemiMnajichagulia vya unafuu! Angekuwa huyo dada ndio anaanzisha matatizo mngebwatuka vibaya mno kwenye comments, ila kwavile mnajuana basi mnamchagulia maamuzi! Mtu anapita na majirani marafiki wote eti atapunguza ujinga! Dawa ya moto ni moto!!
Dawa ya kumtuliza mwanaume malaya ni kumpiga stroke kipi hujaelewa hapoFafanua
kwa hiyo suluhisho ilikuwa ni kutembea na mubaba😃😃😃.......yaani kwenye maisha yako usishindane na mwanaume, ukijaribu kufanya hivyo umeharibu kila kitu, kaeni chini mzungumze ikishindikana kila mmoja apite hivi.Ila huyo mwanaume kuwa Malaya ndio uwezo wa kufikiri??
Labda sio mimi, utakachofanya nalipiza mara mbili yake! Mimi nitulize uke ndani wewe unaonesha mpaka majirani na marafiki zangu! Halafu unaona haitoshi unanirogea danga langu😂Imeandikwa jino kwa jino, ila mimi nawaambieni msishindane na mtu mwovu, mtu akikupiga shavu la kushoto mgeuzie na la kulia, mtu akitaka kanzu yako, mpe na joho pia, mtu akikulazimisha kukimbia mile moja ongeza zaidi😃
Ila binadamu wabishi sana wallah
Yani kama umeoa boya hapo sawa! Kuna vitu vya kupuuzia ila sio mwanaume limbukeni wa uke! Sivumilii hata sekunde..Kwenye ndoa, dawa ya moto ni maji...
Nimeshtuka hapo kwenye kumpiga stroke, au ni code kwa wanawake tu😃Dawa ya kumtuliza mwanaume malaya ni kumpiga stroke kipi hujaelewa hapo
Unaharibu uzi dokta😆
Aisee
Hii ni code usiingie kichwa kichwaHuyo mwanamke ni amempenda sana bwana? Maana km ana kipato binafsi cha kuhudumia familia bila huyo Malaya mzoefu, shida ni gani kwake kusepa?
Halafu ndoa ya kikristo kutegemea kanisa litatue ni uongo, yeye afanye maamuzi kwa kuwa uchumi anao, akusanye watoto na kila kitu chake aende kwingine akaanze maisha mapya.
Yaan Pa1 na yote hayo anavumilia tu? Kisa nitaonekanaje kwa jamii? Au status ya kuwa mke wa fulani ili haki hiko ndani ni pachungu, Lol.
Polee yake.
Hakuna mwanamke boya...Yani kama umeoa boya hapo sawa! Kuna vitu vya kupuuzia ila sio mwanaume limbukeni wa uke! Sivumilii hata sekunde..
Tumesoma wote kitabu kimoja?usitaje jina but kuna qoute mle inasema "In positions that require a higher level of cognitive ability, there are more men because a greater proportion of men have above-average IQs compared with women. However the average man and the average woman have the same cognitive ability.”An average african bila kujali jinsia yake ana uwezo mdogo wa kufikiri.
Sasa si umesha comment hapo, au sijaelewa...Nilitaka nikomenti nikakumbuka kua yanaweza kunikuta nimeacha
Hakika ulichokisema ni kweliHakuna mwanamke boya...
Kila mwanamke ana uwezo wa kumbadilisha mwanamume kuwa chochote!
Sisi wanaume sio malimbukeni wa uke, ndio tumeumbwa hivyo...
Mimi naweza kulala na kichaa, ila naamini wewe huwezi...
Usifikiri mwanaume akiwa mtulivu maana yake hapendi K...
Ni priorities tu kwa mda huo ila K ikijitokeza mbele yake haiachi(niamini mimi)
Hmm, ila hapo sijaona sababu ya kumlaumu mwanamke na kumuona mwanaume yuko sahihi kwa alichokifanya! Huu mfumo dume uliopo nchi zetu umeharibu saikolojia ya mwanaume mpaka mambo kama hayo yako wazi lakini bado haoni tatizo liko wapi!Hakuna mwanamke boya...
Kila mwanamke ana uwezo wa kumbadilisha mwanamume kuwa chochote!
Sisi wanaume sio malimbukeni wa uke, ndio tumeumbwa hivyo...
Mimi naweza kulala na kichaa, ila naamini wewe huwezi...
Usifikiri mwanaume akiwa mtulivu maana yake hapendi K...
Ni priorities tu kwa mda huo ila K ikijitokeza mbele yake haiachi(niamini mimi)
Kuna yule jamaa alihojiwaga studio moja sikumbuki radio gani akiwa amelewa chakari akasema “Kichwa cha mwanaume mmoja aliyelewa chakari ni sawa na vichwa vitano vya wanawake wasomi wenye masters” akachukiwa kweli ila ndiyo ukweli ule.Wanawake hawanaga uwezo wa kufikiri.
Danga km danga lazima liliwe!!!!Labda sio mimi, utakachofanya nalipiza mara mbili yake! Mimi nitulize uke ndani wewe unaonesha mpaka majirani na marafiki zangu! Halafu unaona haitoshi unanirogea danga langu😂