Tuongee asubuhi na Albert Msando! Mada: Hama hama ndani ya vyama vya Siasa. Je, ni kukua kwa demokrasia au ni rushwa?

Kiukweli no kutaka kuwahadaa watanzania na matumizi mabaya ya madaraka katika nchi maskini unashindwa kulipa Madeni ya walimu na wazabuni Wa ndani ili uchumi wao ukue kutwa kununua madiwani na wabunge kutumia pesa kijinga
Mkuu inasikitisha sana kuona sasa tumehamia kwenye biashara za binadamu
 
Kiukweli no kutaka kuwahadaa watanzania na matumizi mabaya ya madaraka katika nchi maskini unashindwa kulipa Madeni ya walimu na wazabuni Wa ndani ili uchumi wao ukue kutwa kununua madiwani na wabunge kutumia pesa kijinga
 
Kufuatia wimbi la madiwani na baadhi ya waliokuwa wagombea ubunge wa cdm kuhamia ccm,hayo ni mapito tu na misukosuko ya kisiasa hivyo kwa mwana Cdm wa kweli tuendelee kushikamana ili kukijenga chama chetu na hao wanao zoa makapi waacheni wazoe makapi yao na waendelee kuwahadaa watanzania kuwa wanapendwa
mwanzo walianza drama kwa mbwembwe eti wanafukuza wanachama, wakamfukuza Sofia Sumba, Madabida na stela Msambatavangu,

unafukuza wanachama bure alafu unaenda kuwanunua wengine kwa gharama kubwa.

nasikia wanawabembeleza wanachama waluowafukuza warudi,

je kama uliwafukuza wanachama kwa
kumuunga mkono lowasa kwanini usiwarudishe baada ya lowasa kurejea Ccm kimya kimya
 
Ccm ni janga na litaondoka kwa nguvu ya mungu
 
Kuhama vyama kulikuwepo, kupo na naamini kutaendelea kuwepo kama hii propaganda ya sasa haitashinda.

Tofauti na siku za nyuma viongozi wa kisiasa walihama baada ya utawala au muda ya nyazifa zao kuisha lkn leo wanahama katikati ya vipindi walivyochaguliwa hivyo kulazimisha uchaguzi kurudiwa hili linaonekana kuwakera wengi japo siamini kama kweli linawakera.

Tujikumbushe kidogo Mrema ni zao la kuhama vyama na nguvu aliyoileta upinzani kwa kitendo cha kuhama kwake ccm si jambo la kubeza. dr. Slaa ni tunda la demokrasia hii ya kuhama vyama akiyoyafanya cdm ni makubwa kabla ya kutimuka huko tena.
Lowasa ni tunda la kuhama chama laiti kuhama ingekuwa uhaini leo hii pengine angekuwa amestaafu siasa na hawashwiwashwi tena.

Kuna tetesi kuwa 2015 kuna mawaziri wengi tu walitaka kumfuata Lowasa cdm na kwa kulitambua hilo Kikwete hakuvunja baraza la mawaziri ili kuwafunga wasihame mpaka baada ya uchaguzi laiti kama wangekuwa wameona huu mfano wa wakina mtulia pengine nao wasingejari nafasi zao wangejiuzulu tu na kuhamia cdm na nadhani ingekuwa hivyo leo pengine cdm ingekuwa chama tawala.

Hoja yangu ni nini? Kama kuhama chama ni demokrasia basi naamini vyama vya upinzani hasa cdm vinapaswa kuilinda demokrasia hii ya kuhama vyama wasiipige mawe kwa kuwa tu leo inawaumiza wao. Demokrasia hii pekee ndio itakuja kuiondoa ccm madarakani. Leo upinzani wanajitahidi kulifanya ni jambo la aibu, fedheha, uhaini, uhujumu uchumi, wala rushwa na kila aina ya ubaya.

Niamini mimi kuhama kukisha kuwa tusi upinzani utabidi usubiri wanachama kutoka kwa wanaotimiza miaka 18 tu huku ccm ikinufaika na uhakika wa kubaki na wanachama wake wengi na viongozi wenye uzoefu wa kutosha kuongoza nchi.
 
N mawili
Aidha hujaeleweka au hujaelewa kama si kutojielewa
 
Back
Top Bottom