Tuone Uwajibikaji Kwenye hii National Blackout

Tuone Uwajibikaji Kwenye hii National Blackout

Ifike mahali tuanze kuona uwajibikaji nchini kwenye mambo ya aibu kama haya ya National blackout concerning umeme wa gridi ya taifa. Emergency response system ya matatizo ya kimiundombinu kama haya yaliyotokea ilipaswa iwepo. Hatuwezi nchi nzima tukakaka saa 3 bila umeme na watu wapo tu maofisini.

Tuanze kuona assessment ya athari ya hii national blackout ikiwekwa wazi na pia hapo Tanesco kujumlisha na wizara ya Nishati, watu waanze kuwajibika. Huwezi kukuta nchi zinazoendelea zikivumilia mambo kama haya.
Vulnerabilities ni nyingi kwenye jambo kama hili. Security wise hatuko safe, Economic wise kuna production inapungua na mifumo mbali mbali ya pesa haifanyi kazi vizuri bila umeme. Socially, jamii inakaa in distress.

Waziri na katibu mkuu kama vipi wapumzike.
Serikali ya majambazi inazo mbinu nyingi za kuwabadilishia watu topic ya kujadili. Usikute hili la kukatika kwa umeme limeletwa makusudi ili kuwatoa watu kwenye mijadala ambayo ni migumu zaidi kwa mtawala.
 
Hangaya alimfukuza yule boss wa EWURA nini kilibadilika? Na ishu ya mafuta ilikua nje kabisa ya uwezo wake.

Hata mtu akiwajibishwa hamna kitachobadilika kwenye hii banana republic.
tunataka kujua kama emergency response system ipo, na kama ipo kwanini tunakaa 3 hours bila umeme kurudi? na kama haipo kwanini? tusiendekeze ujinga
 
Gentleman,
it's just a technical fault na hakuna wa kupumzika. The respective institution officers are working hard to make it sorted in a very near time to come 🐒
Hilo bwawa lilifunguliwa kisiasa lakini halikuwa tayari kuanza kazi. Toka umeme umeanza kutumika wa hilo bwawa mara kwa mara umeme umekuwa ukikatika, na hauko stable kabisa. Tukiingia kwenye maandamano keshokutwa ndio akili zitawakaa sawa.
 
Hilo bwawa lilifunguliwa kisiasa lakini halikuwa tayari kuanza kazi. Toka umeme umeanza kutumika wa hilo bwawa mara kwa mara umeme umekuwa ukikatika, na hauko stable kabisa. Tukiingia kwenye maandamano keshokutwa ndio akili zitawakaa sawa.
siasa zimekuwa nyingi sana hii nchi, tuanze kuona matokeo jamani
 
Oyaaa juzi kati nlikutana na waziri mmoja mstaafu, alivyokuwa ananitambia bidii na kazi waloyoifanya ni balaa.
Acheni bhana watu wanaona wamapiga kazii haswaa. Shida inakuja pale watu wanapotaka kasi ya nchi alafu wazee ndo wapo zamu.

IMAGINE mtu anashika nafasi ya juu ya kiutendaji ila matumizi ya PC yanamzingua
 
Oyaaa juzi kati nlikutana na waziri mmoja mstaafu, alivyokuwa ananitambia bidii na kazi waloyoifanya ni balaa.
Achani bhana watu wanaona wamapiga kazii haswaa. Shida inakuja pale watu wanapotaka kasi ya nchi alafu wazee ndo wapo zamu.

IMAGINE mtu anashika nafasi ya juu ya kiutendaji ila matumizi ya PC yanamzingua
kalemani yupo pale, wakamuulize waliwezaje?
 
Nchi haina uwajibikaji hii, yaani mtu avurunde kama hivi kesho aandike barua ya ku-step down kwa sababu ya umeme kukatika nchi nzima, wakati huyo mtu hana plan B kwenye maisha yake!!

Sahau hilo, hakuna accountability, hakuna majibu kwenye situation za namna hii, itapigwa kimya, hata aliyeiba kura atapiga kimya na its business as usual
shida inaanzia kwenye mindset ya viongozi wetu, uwajibikaji ni msamiati mgumu sana kwao
 
Back
Top Bottom