Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 48,068
- 39,010
Gentleman,Hilo bwawa lilifunguliwa kisiasa lakini halikuwa tayari kuanza kazi. Toka umeme umeanza kutumika wa hilo bwawa mara kwa mara umeme umekuwa ukikatika, na hauko stable kabisa. Tukiingia kwenye maandamano keshokutwa ndio akili zitawakaa sawa.
kwanza kabisa tunao umeme wa kutosha nchini, na technical issues ni mambo ya kawaida, kwasababu hutokea pia maeneo mengine mengi tu Africa na duniani kote.
Jambo la mwisho,
hakutakua na nonsense yoyote siku za maonyesho ya kimataifa ya kibaashara nchini 🐒