Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 48,187
- 39,083
uwajibikaji ni kupambana kushughulikia tatizo, kukimbia tatizo is just nonsense gentleman.CUT THE BULSHIT MAN, And you think this is an excuse?....ivi ukiwa CCM kichwani kunakuwa na kitu gani ?...Ushajiuliza kwanini technical fault kama hiyo haiwez kutokea CHINA?..Okay imeshatokea, what was it exactly ?...Tunatoka tujue the technicality ya Tatizo ili watu wanaoweza hayo mambo waweze kushauri nini kifanyike ili jambo kama hili lisitokee tena, sababu it seems like watu wengi ambao, wako kwenye hizo system za kazi walipewa kazi kindugu na hawakofiti kufanya kazi zao, ila wengi ambao wako nje ya mifumo ndio wataalam ila sababu hawana connections hawana kazi...Yan ni upuuzi tu, watu wangapi wameathirika ? How are they going to be covered ? Is there even a plan ?...This country has a lot of mudafakaz...WAKE UP MAN THIS IS 21ST CENTURY..
dunia nzima ilikosa internet kwasababu ya technical issue, we unazungumzia china tu?
USA mifumo ya kifedha iliingiliwa dunia nzima ikaathirika uliskia wapi kuna nonsense ya kuwajibika?
kuwajibika ni kushughulikia changamoto na sio hizo ngonjera na mipasho unabwabwaja hapo 🐒