Tunnel Guru...!!!

hii smart



  • [h=2]Daily[/h]
  • 1000(TSH)
  • *All Taxes Inclusive
  • Unlimited
  • Validity Period: 24 Hours
  • Activation SMS: SMS "DATASIKU" to 100


  • [h=2]Weekly[/h]
  • 7000(TSH)
  • *All Taxes Inclusive
  • Unlimited
  • Validity Period: 7 Days
  • Activation SMS: SMS "DATAWIKI" to 100


  • [h=2]Monthly[/h]
  • 20000(TSH)
  • *All Taxes Inclusive
  • Unlimited
  • Validity Period: 30 Days
  • Activation SMS: SMS "DATAMWZI" to 100
 
kwenye simuu.? wanauza line? moro nipo kwa sasa....... waweza nieleza nawezaje ipataa?

wanavyodai wana watu mikoani wanauza line ila mimi sijawaona. njia rahisi mtume mtu dar akununulie akutumie. wanauza line na vocha ya 1000 kwa shilingi 2000.
 
Kuna mtu humu ndani ni mnafiki sana, anajifanya anajua sana maujanja eti naye ni internet guru. Internet guru gani asiyejua kutofautisha kati ya http over ssl na http. Binafsi ananikera sana unafikiri tutaku pm ili utupe maujanja? Nooo coz tunajua huna lolote zaidi ku copy na ku paste shame on u.
 
Dah! Yaani mazowea yanatabu, Wacha niweke pc kwa kabati kwanza,kumbe bundle ghali namna hii!!. Ntakomaa na mobile tu.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
sasa hv hata megaboksi naona wameongeza speed maximum imekua 250KBps. sijui ni kwangu tu.
 
Wakuu Mm Nna Line Ya Bol ila nikiweka kwenye modem yangu huawei e 303 haipandish network... Then pia nmejarbu kwenye simu yangu symbian haisomi pia ila nikiweka kwenye android (samsung) ndo sehem pekee inafanya kaz... Sjui inakua vp hapa
 
Wakuu Mm Nna Line Ya Bol ila nikiweka kwenye modem yangu huawei e 303 haipandish network... Then pia nmejarbu kwenye simu yangu symbian haisomi pia ila nikiweka kwenye android (samsung) ndo sehem pekee inafanya kaz... Sjui inakua vp hapa

kuna hypothesis nilitengeneza kuwa hawa jamaa hawatumii band ya 2100mhz ambayo ndio common bali wanatumia band nyengine ie 850mhz hivyo kusababisha simu za bei ya chini na modem kushindwa kufanya kazi.
 
Back
Top Bottom