Wana naomba sikilizeni. Mimi naona tunnelguru na tigo ni mizinguo mno kwa sababu tigo ni mizinnguo. Sasa nimepata idea, mnaonaje watu watest tunnelguru kwa kutumia TTCL Broadband kwa kutumia PD Proxy au TunnelGuru?
Naomba mwenye wezo a test vifuatavyo:
1. TTCL broadband ambayo haijalipiwa na atoe majibu.
2. TTCL Broadband ambayo imelipiwa ile superslow unlimited yao na atoe majibu.
N.B Hizo mbili za hapo juu a test both VPN and HTTP tunnel na apost results za speed test.
Naomba ushirikiano wenu