Tunnel Guru...!!!

Jamani jukwaa hili sikuhizi limekuwaje? Watu nikupigana vijembe..!!!!!!!
Mwl.rct uko wapi.?

Daah!ni kweli kabisa ila shida zimekua ni ndogo tu na watu wanasahau kwamba hapa ni JF tech...

kitu kikubwa ni watu wamekua wakileta dharau hapa mpaka nashangaa kwa sasa mm nimepanga nisiwe na comment kwa baadhi ya vitu kama hizi #TG na #PD maana nimeonekana mbaya kwa baadhi ya watu...

Nina rekodi ya kutukanwa na watu watatu hapa JF nasijawai ona mtu akinitusi just because nimeweka tu comment yangu...e.g hii thread huyu @x.100 alinitukana na huyu #KRAPKA_DAVINYOO kisa chenyewe nafikiri pia ni either #dharau kwa mtu usiemjua pia na #wivu umekua ukichangia...

Mfano dhairi last time niliweka comment ya kufanya ya HTTP/1.1 na Protocols zake mtu akanipanda kichwani(kama sio dharau na wivu ni nn hii kumtukana mtu kwa kitu kidogo vile)

Kuanzia leo nafata nyayo za vichwa viwili hapa JF #Paje na #chief maana ukimu-attack kwa matumizi either hatokujibu au basi atakujibu kwa upole na atakuonesha kuwa wewe ndo unakosea
 
Back
Top Bottom