Tunnel Guru...!!!

Tunnel Guru...!!!

Mwisho wa Tunnel Guru ulikuwa jana kutumia line ya Zantel, tafuteni maujanja mengine

Mm nilishawambia watu wasi entertain sasa Kuropoka haya makitu
Tumetumia hizi settings na wadau wengi humu tokea DAVO walipobuma lkn ile siku nimepokea message kutoka kwa admin wa TG kwamba kuna Zantel settings nizijaribu nimpe jibu nikajua WAKUROPOKA washaharibu
Na mtu aliyemtumia hizo yulo hapa hapa JF kesho ake akapost FB mara server zikaanza kujaa hapo nikajua kabisa hawa zantel lazima washtukie tu

Angalia attachment hii na settings nilizotumiwa zilikua na jina la huyo mtu(jina nimeliifadhi)
 

Attachments

  • 1395814895142.jpg
    1395814895142.jpg
    32.8 KB · Views: 221
Mm niliwambiaga acheni kumpa settings hizi admin wa TunnelGuru sasa kuna mjinga yeye kukaa kimya hawezagi sasa mtajiju sasa...

Mm uzuri hizi huwa hazini affect ila naumia pale tu kama nimewauzia voucher watu afu kitu imebuma hata kama nina solution huwa sitaki kuwapa maana naonaga kati ya hao niliowauzia ndo causative agent

Mwl.RCT hii inakuhusu maana ninahakika wewe ndo umepeleka setting kwa Admin wa Guru
 
Last edited by a moderator:
Mwl.RCT hii inakuhusu maana ninahakika wewe ndo umepeleka setting kwa Admin wa Guru

Point kubwa hapa kuna mtu kutanguliza Pesa mbele bila kutazama Effect itakayo kuja kwake na kwa wadau muhimu wa JF waliokua wakitegemea hii... na imani wewe Davinoo mwenyewe unajua hizi settings tokea PD proxy udp ports za davo zimegoma tumekua tukizitumia kule kwenye thread yetu ya password....

Sifa moja ya basi la kijani ni kwamba wako sensitive na ma-auditors wako strict wana monitor hawa ma IT kuhakikisha DATA usage zote ziko poa au kuna utapeli....mashaidi akina Paje watakwambia pia maana zantel ilianza freesite ya m.facebook.com lkn wakaishtukia baada ya wadau kuwa wengi tukabaki na hii ya WAP sasa nayo naona wateja walikua 100+ ambao data usage yake ni KUBWA tu na kushtukiwa na.rahisi...ushaidi wa wateja wengi ninkuona Server za canada zinasema "Current server is overloaded"

Sasa hapa tushaumizwa njia zote QUISHNEY bundle kulipia.hatuna uwezo...yaani hapo ndo nakereka sana

Mm nimejitaidi kua msiri kwa kiwango niwezacho hamna mtu ananipigia kuomba Net hata siku moja ya VPN/HTTP ni kampa
 
Last edited by a moderator:
Hiyo kweli. Wengine wanatafuta sifa kwenye mitandao waonekane wanaweza kumbe masnitch:what::what:
 
Ahhhhh ww mm nawajua kitambo,nilitoa ki2 watu kama kawaida yao wakawaambia mashemeji zao,wanaboa ile mbaya
 
Mtu ataona njunwa mzushi someni hiii thread na links zilizowekwa na blog moja uone na walio comment
Nyuma ya pazia Tunnel Guru na Voda
mkuu mwendo inabidi uwe uleule kimyakimya tu kama party ya kiutu uzima tunakutana chemba kwa siku zote as usual tunalonga tunaweka mambo sawa,im sure kwenye hili miongoni mwetu kuna mtu aliteleza wasiohusika wakapata taarifa matokeo yake ndo haya
 
hapa kuna wa2 wa aina 2.. Wanafik na waloendekeza tamaa mbele a.k.a @.karibu
habar nzur bdo mitandao miwil inapiga kaz kam kawaida.. Alwayz nasema hv.. Programmerz n maguru wa network wanajua namanisha nin si hawa akina njunwa copy n paste hawajui hata wanafanya nin.
 
Back
Top Bottom